CCM Acheni kuihodhi Tanzania

Nikiyaangalia matukio yaliyotokea hivi karibuni na kukumbuka yale yaliyowahi kutokea hapa nchini mwetu kwa upande wa Siasa, nimefikia hitimisho kwamba ili nchi hii isonge mbele ni lazima CCM iache fikra na matendo ya kuhodhi nchi yetu ya Tanzania kama ni mali yao peke yao.
Unapoongelea demokrasia ya Tanzania unafananisha na nchi gani? Haya mambo ya kukariri tu na kutulazimisha wote Watanzania tufuate unayosema hapa ndio uzandiki wenyewe huo. Unaongelea wakati tupo chama kimoja then unaongelea wakati wa vyama vingi, Je, ulitaka madeni yasilipwe? Naona unaruka ruka tu, be specific bila kumung'unya maneno ndio JF where we dare to talk openly.

Ukiniambia tufuate policy za Chadema sitakubaliana na wewe kwa sababu ni sera za kikabila na ukanda zaidi, huwezi kunishawishi leo hii kuuziwa mbuzi kwenye gunia then unasema ndio Watanzania wengi wanazipenda are you serious? BTW Chama kinachotawala ndio kina kinga maslahi ya nchi wakati kikiwa madarakani na kina kura ya turufu. Niambie nchi gani haifanyi hivyo hapa ulimwenguni labda kama unaongelea Mars!
 
Mimi na mawazo tofauti, ni bora kwa CCM iendelee kuihodhi Tanzania inavyotaka kuliko kumkabidhi Bikira Maria kuwa Msimamizi wa Jamhuri ya Muungano wa,Tanzania. Nchi itaingia nuksi, kunakamizwa, kugharikishwa na kuangamizwa
Wenye nchi yao si wameridhia kukabidhiwa kwa Bikira Maria?
 
Unapoongelea demokrasia ya Tanzania unafananisha na nchi gani? Haya mambo ya kukariri tu na kutulazimisha wote Watanzania tufuate unayosema hapa ndio uzandiki wenyewe huo. Unaongelea wakati tupo chama kimoja then unaongelea wakati wa vyama vingi, Je, ulitaka madeni yasilipwe? Naona unaruka ruka tu, be specific bila kumung'unya maneno ndio JF where we dare to talk openly.

Ukiniambia tufuate policy za Chadema sitakubaliana na wewe kwa sababu ni sera za kikabila na ukanda zaidi, huwezi kunishawishi leo hii kuuziwa mbuzi kwenye gunia then unasema ndio Watanzania wengi wanazipenda are you serious? BTW Chama kinachotawala ndio kina kinga maslahi ya nchi wakati kikiwa madarakani na kina kura ya turufu. Niambie nchi gani haifanyi hivyo hapa ulimwenguni labda kama unaongelea Mars!
Sijui kama umemuelewa mleta post. Hivi kweli ww unafurahia CCM kunyang'anya mali (vikiwemo viwanja vya michezo, majengo ya ofisi vijijini) za wananchi na kuzigeuza mali yake?
 
Nikiyaangalia matukio yaliyotokea hivi karibuni na kukumbuka yale yaliyowahi kutokea hapa nchini mwetu kwa upande wa Siasa, nimefikia hitimisho kwamba ili nchi hii isonge mbele ni lazima CCM iache fikra na matendo ya kuhodhi nchi yetu ya Tanzania kama ni mali yao peke yao.
Umeishiwa hoja unapayuka payuka ovyo ovyo kama mtu aliye kunywa mbege na viroba.
Hivi unavyofanya chaggae development manifesto huoni hata aibu. Hivi unadhani hatuwaoni? Mipango yenu ipo uchi. Jitathimini mrudi kwenyekundi muache kujitenga kama manifesto yenu.
 
Mliwasingizia wenzenu kwa ukanda sasa nyie ndiyo mnafanya kwa vitendo!!
 
Wewe huoni hata aibu!? Vitamburisho vyote ukonavyo. Manifesto yenu ilibuma na hamuwezi tena hiyo ndiyo nitolee. Mlijitahidi kuwateka vijana wengi lakini kwa sasa wamestuka. Acheni kuendesha chama kwa kufuata manifesto yenu. Mpo uchi tunawaona.
NCCR na CHADEMA manifesto yenu ilibuma. Sasa hivi mmeanza kuishi kwa jia ya ulaghai na uongo. Mnatoa uongo hadharani. Mko tayari kumuua Ben saa8 ili mpate mtaji wa kisiasa. Pyu hamfai
 
Aliuawa Dr. Sengondo Mvungi,aliuawa Daudi Mwangosi alijeruhiwa Dr. Steven Ulimboka na hata Ben saanane hajulikani alipo ni kawaida na wala roho haziwastuki kwa kuwa si wana CCM wenzenu.
Wote uliyowataja waliuwawa Chadema Safari hii mkimua Ben mnajifanya Ccm Ndiyo wameuwa tunakula nanyi sahani moja
 
Haya mambo ni biblical. Ukishakatwa biblia utaelewa kila kitu. Kulikuwa na wafalme kama Sauli lkn wakati ulipofika Mungu akawanyang'anya kinga ya mafuta na kuwapata watu kama Daudi. It's just a matter of time
 
8f4e913a097772639fa8a13d34dd1a8f.jpg
 
Aliuawa Dr. Sengondo Mvungi,aliuawa Daudi Mwangosi alijeruhiwa Dr. Steven Ulimboka na hata Ben saanane hajulikani alipo ni kawaida na wala roho haziwastuki kwa kuwa si wana CCM wenzenu.
Bavicha bana mna shida kubwa kwa kweli. Waliohusika na mauaji ya Dr. Mvungi walikamatwa. Aliyemuua Mwamgosi alishahukumiwa, Ulimboka waliomjeruhi hawajakamatwa na huyo kijana wenu mnajua aliko
 
Sijui kama umemuelewa mleta post. Hivi kweli ww unafurahia CCM kunyang'anya mali (vikiwemo viwanja vya michezo, majengo ya ofisi vijijini) za wananchi na kuzigeuza mali yake?
Huwa sijadili pumba kama hizi grow up and move on!
 
Back
Top Bottom