Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,673
- 22,264
Chama cha Mapinduzi Manyara kimeshauri CCM nchi mzima ianziishe biashara ya shule za Jumuia ya Wazazi! Elimu haitakiwi kufanywa biashara tena na chama kilichopo madarakani, taswira inayoonekana ni kuwa vyama vitakuwa vinanyang'anya ushindi wa uchaguzi mkuu ili viweze kufanya biashara ya elimu! Na huenda ndicho kilichofanyika uchaguzi uliopita.
Mimi ninaijua vizuri Meta nilisoma hapo ikiwa Middle School shule ya serikali ila cha ajabu CCM waliipora, Sangu pia haikuwa ya CCM na ilianzia karibuni ya kanisa la Anglikana, shule ya wazazi TAPA ilikuwa mabatini karibuni ya hosipitali, CCM ilichukua baadhi ya shule zilizokuwa za halmashauri ya serikali za mitaa kama ilivyopora viwanja vya mpira. CCM kuigeuza elimu kuwa kitegauchumi ni kutoelewa wajibu wao wa uongozi kwani wataua shule za serikali ili zao zipate wanafunzi, pia watang'ang'ania madaraka kwa halinamali ili kulinda biashara yao.Mbona shule za jumuia ya wazazi wa CCM zipo siku nyingi sana!?hazijaanza leo....TEGETA SECONDARY,SANGU SECONDARY,META SEC na nyingine nyingi ni baadhi ya shule za jumuia ya wazazi wa CCM.
ParodyElimu ya kibongo IMEKUFA TANGU 1984.
WATOTO WANAPOTEZA MUDA TU HUKO KATANI
MTAALA WA KICHORA PANZI NA HESABU ZA UMRI NI JANGA KWA TAIFA....
Watawala wamepeleka watoto wao NJE KUSOMA.
Tangu lini CCM ikawa na nia njema na watanzania?Chama cha Mapinduzi Manyara kimeshauri CCM nchi mzima ianzishe biashara ya shule za Jumuiya ya Wazazi! Elimu haitakiwi kufanywa biashara tena na chama kilichopo madarakani, taswira inayoonekana ni kuwa vyama vitakuwa vinanyang'anya ushindi wa uchaguzi mkuu ili viweze kufanya biashara ya elimu! Na huenda ndicho kilichofanyika uchaguzi uliopita.
Muathirika wa ujinga wa elimu ya CCM unashukuru kwa kufanywa mjinga!Jumuiya ya wazazi CCM ina shule zake toka siku nyingi sana ndugu, binafsi ni matunda ya shule hizo nikiwa nimesoma Lomwe High School, Usangi, Mwanga,Kilimanjaro.
Hakika CCM ni chama cha mfano Tanzania nawashukuru kwa elimu nzuri waliyonipatia.
Chama cha Mapinduzi Manyara kimeshauri CCM nchi mzima ianzishe biashara ya shule za Jumuiya ya Wazazi! Elimu haitakiwi kufanywa biashara tena na chama kilichopo madarakani, taswira inayoonekana ni kuwa vyama vitakuwa vinanyang'anya ushindi wa uchaguzi mkuu ili viweze kufanya biashara ya elimu! Na huenda ndicho kilichofanyika uchaguzi uliopita.
Hahahah! Ili usionekane mjinga inabidi uiponde nchi na uichukie serikali.Muathirika wa ujinga wa elimu ya CCM unashukuru kwa kufanywa mjinga!
Hivi kile Chuo kikuu cha siasa na propaganda cha ccm kule kwa mfipa,,kinatoa course gani?Chama cha Mapinduzi Manyara kimeshauri CCM nchi mzima ianzishe biashara ya shule za Jumuiya ya Wazazi! Elimu haitakiwi kufanywa biashara tena na chama kilichopo madarakani, taswira inayoonekana ni kuwa vyama vitakuwa vinanyang'anya ushindi wa uchaguzi mkuu ili viweze kufanya biashara ya elimu! Na huenda ndicho kilichofanyika uchaguzi uliopita.
Ni mchinamchina, CCM inalenga kutawala vilaza ikipiga vita elimu, ujinga wetu ndiyo fahari kwa CCM.Hivi kile Chuo kikuu cha siasa na propaganda cha ccm kule kwa mfipa,,kinatoa course gani?
Au ni siasa tu?
Na wakisema propaganda wanamaanisha nn?
Kweli siasa ni uongo mtupu.
Hicho Chuo ni kwa ajili ya masomo gani?Ni mchinamchina, CCM inalenga kutawala vilaza ikipiga vita elimu, ujinga wetu ndiyo fahari kwa CCM.
Polepole alisema CCM itatawala zaidi ya miaka 90 ijayo akijua ajenda iliyoko ndani mwao huu us elimu isiyokidhi viwango ambavyo itawezesha kuwa na taifa la vilaza wanaotawalika kirahisi.Tangu lini CCM ikawa na nia njema na watanzania?
Kwani lazima usome shule za CCM!?Polepole alisema CCM itatawala zaidi ya miaka 90 ijayo akijua ajenda iliyoko ndani mwao huu us elimu isiyokidhi viwango ambavyo itawezesha kuwa na taifa la vilaza wanaotawalika kirahisi.
matabaka hayakosi hata mbinguni yako makelabi na maserafi hawawezi kuwa sawa na malaika wengine. House boy hawezi lalia kitanda chako hata km haupo mwaka mzima labda aibie ibie.Serikali ya CCM imeshagundua kosa lililofanyika hadi elimu kuwa biashara, tena biashara inayojenga matabaka kwenye jamii.
Kazi ya kumshughulikia hili inaendelea vizuri.... elimu bora ni haki ya kila mtanzania