Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 873
Tatizo mwanafalsafa..unazungumza kama unajua kilichowaliza ni nini. Unaona watu wanalia kwenye kabuli unafikiri wanamlilia Nyerere! Hawa nimeanza kuwapenda kwani they are doing all the good things I would have done kama ningeanzisha chama.. Wanajua wanachokitaka, wanafalsafa inayowaongoza na kinyume na wengi wanavyofikiria hawahitaji kigogo kuwa nyuma yao! Ni ajenda inayoelewekak na ambayo wanajua itawavutia Watanzania.
Uongozi ni uwezo mara zote siyo ahadi, siyo kutoa misaada, siyo cheap popularity ni kuweza kuchukua msimamo na watu wakajua msimamo huo. CCJ (SisiJUU).. ni chama ambacho kinafuata hatua zote muhimu za kuongoza mapambano ya kifikra kwenye sanduku la kura..
Nakumbuka kisa cha kuteuliwa kwa Daudi kuwa Mfalme... Alipoenda Nabii Samwel kwenda kuwapaka mafuta watoto wa Yesse. Wakaletwa watoto saba wa kiume (vyama vilivyokomaa na vyenye uzoefu na majina makubwa).. Hadi alipokuwa tayari kumpaka mmoja wao mafuta BWANA akamwambia siyo "HUYU". Kila mmoja aliamini kabisa mfalme atakuwa ni mmoja wa hawa wazoefu na wanaosifiwa kijijini..
Hadi pale Samweli akashangaa mwishoa akamuuliza Yesse "Yesse watoto wako wote ni hawa". Ndipo Yesse kiuvivu akasema "yeah kapo kamoja kanachunga ng'ombe huko sidhani kama hako kanaweza kuwa kafalme". Samweli akamwambie "mlete".
Sasa.. tunaweza kucount watu out kwa sababu they don't fit in our own concept ya nani anaweza kutuongoza. Tunawapima na kuwaangalia majina yao wanajulikana vipi na kwa namna gani na wasiporidhisha tunasema hawa haiwezekani. Tungependa sana atakayetuongoza awe kutoka kwa wale Saba!!
Well.. friends.. Here comes David!
Mmh hapa umenoa Mwanakijiji...ndio makuburini?do you think Nyerere anawasikia au anawaunga mkono kwa kuanzisha hicho chama chao..Je is it true kwamba wanadhamira ya dhati na kama ni ndio why now kwani sio mwaka jana,juzi au mwakani?kama wanafuata nyayo za Mwalimu,mbona waanzishaji wenyewe hawajitokezi front?Kwenda kwenye Kaburi la mwalimu ni kujitia mkosi tu...Hivi mfu hasikii mpaka uende kwenye kaburi lake?unawatetea eti uongozi sio cheap popularity hivi kitendo cha kwenda kwenye kaburi la Mwl pamoja na media sio kutafuta cheap popularity?Jipange tena mkuu...ukija na chama chako halafu ukaenda kwenye Kaburi la Mwl nitakucheka sana.Umekosea kabisa kutoa mfano wa Daudi na kisa cha CCJ...hatudanganyiki.
Tatizo mwanafalsafa..unazungumza kama unajua kilichowaliza ni nini. Unaona watu wanalia kwenye kabuli unafikiri wanamlilia Nyerere! Hawa nimeanza kuwapenda kwani they are doing all the good things I would have done kama ningeanzisha chama.. Wanajua wanachokitaka, wanafalsafa inayowaongoza na kinyume na wengi wanavyofikiria hawahitaji kigogo kuwa nyuma yao! Ni ajenda inayoelewekak na ambayo wanajua itawavutia Watanzania.
Uongozi ni uwezo mara zote siyo ahadi, siyo kutoa misaada, siyo cheap popularity ni kuweza kuchukua msimamo na watu wakajua msimamo huo. CCJ (SisiJUU).. ni chama ambacho kinafuata hatua zote muhimu za kuongoza mapambano ya kifikra kwenye sanduku la kura..
Nakumbuka kisa cha kuteuliwa kwa Daudi kuwa Mfalme... Alipoenda Nabii Samwel kwenda kuwapaka mafuta watoto wa Yesse. Wakaletwa watoto saba wa kiume (vyama vilivyokomaa na vyenye uzoefu na majina makubwa).. Hadi alipokuwa tayari kumpaka mmoja wao mafuta BWANA akamwambia siyo "HUYU". Kila mmoja aliamini kabisa mfalme atakuwa ni mmoja wa hawa wazoefu na wanaosifiwa kijijini..
Hadi pale Samweli akashangaa mwishoa akamuuliza Yesse "Yesse watoto wako wote ni hawa". Ndipo Yesse kiuvivu akasema "yeah kapo kamoja kanachunga ng'ombe huko sidhani kama hako kanaweza kuwa kafalme". Samweli akamwambie "mlete".
Sasa.. tunaweza kucount watu out kwa sababu they don't fit in our own concept ya nani anaweza kutuongoza. Tunawapima na kuwaangalia majina yao wanajulikana vipi na kwa namna gani na wasiporidhisha tunasema hawa haiwezekani. Tungependa sana atakayetuongoza awe kutoka kwa wale Saba!!
Well.. friends.. Here comes David!
Tatizo mwanafalsafa..unazungumza kama unajua kilichowaliza ni nini. Unaona watu wanalia kwenye kabuli unafikiri wanamlilia Nyerere! Hawa nimeanza kuwapenda kwani they are doing all the good things I would have done kama ningeanzisha chama.. Wanajua wanachokitaka, wanafalsafa inayowaongoza na kinyume na wengi wanavyofikiria hawahitaji kigogo kuwa nyuma yao! Ni ajenda inayoelewekak na ambayo wanajua itawavutia Watanzania.
Uongozi ni uwezo mara zote siyo ahadi, siyo kutoa misaada, siyo cheap popularity ni kuweza kuchukua msimamo na watu wakajua msimamo huo. CCJ (SisiJUU).. ni chama ambacho kinafuata hatua zote muhimu za kuongoza mapambano ya kifikra kwenye sanduku la kura..
Nakumbuka kisa cha kuteuliwa kwa Daudi kuwa Mfalme... Alipoenda Nabii Samwel kwenda kuwapaka mafuta watoto wa Yesse. Wakaletwa watoto saba wa kiume (vyama vilivyokomaa na vyenye uzoefu na majina makubwa).. Hadi alipokuwa tayari kumpaka mmoja wao mafuta BWANA akamwambia siyo "HUYU". Kila mmoja aliamini kabisa mfalme atakuwa ni mmoja wa hawa wazoefu na wanaosifiwa kijijini..
Hadi pale Samweli akashangaa mwishoa akamuuliza Yesse "Yesse watoto wako wote ni hawa". Ndipo Yesse kiuvivu akasema "yeah kapo kamoja kanachunga ng'ombe huko sidhani kama hako kanaweza kuwa kafalme". Samweli akamwambie "mlete".
Sasa.. tunaweza kucount watu out kwa sababu they don't fit in our own concept ya nani anaweza kutuongoza. Tunawapima na kuwaangalia majina yao wanajulikana vipi na kwa namna gani na wasiporidhisha tunasema hawa haiwezekani. Tungependa sana atakayetuongoza awe kutoka kwa wale Saba!!
Well.. friends.. Here comes David!
mwanakijiji pia ni mtu na kukosea ni sunna!!! labda ana mkono wake... lakini kwa wau wale, with limited profile, hata kwenye ten-cells!!!mkuu, hapa umeteleza.................. kajipange vizuri........................ sorry.........
Mmh hapa umenoa Mwanakijiji...ndio makuburini?do you think Nyerere anawasikia au anawaunga mkono kwa kuanzisha hicho chama chao..Je is it true kwamba wanadhamira ya dhati na kama ni ndio why now kwani sio mwaka jana,juzi au mwakani?
kama wanafuata nyayo za Mwalimu,mbona waanzishaji wenyewe hawajitokezi front?
Kwenda kwenye Kaburi la mwalimu ni kujitia mkosi tu...Hivi mfu hasikii mpaka uende kwenye kaburi lake?
unawatetea eti uongozi sio cheap popularity hivi kitendo cha kwenda kwenye kaburi la Mwl pamoja na media sio kutafuta cheap popularity?
Jipange tena mkuu...ukija na chama chako halafu ukaenda kwenye Kaburi la Mwl nitakucheka sana.Umekosea kabisa kutoa mfano wa Daudi na kisa cha CCJ...hatudanganyiki.
yeah, GS nimekukubali sana hapo......... chama gani waanzilishi wake wanjifichaficha.
.......... mara sijui kadi waweke picha ya marehemu.......... sasa wanatoa machozi ya mamba kaburini........ sio washirikina hawa kweli?????.............. hivi hawa wanajua kuwa mabingwa wa maigizo ya kumuenzi mwalimu ni CCM?................
mimi hawa kwanza nilishdoubt busara zao, timming yao imekuwa mbaya sana hadi sasa ni dhahiri kuwa wanatarajia kuhurumiwa tu pale watakapokosa kushiriki uchaguzi mkuu............ subiri uone hata manifesto yao itajaa duplication ya ile ya CCM hawana mawazo mbadala hawa............ hatuoni mikakati......... kugawa kadi ningi sio siasa........... hawa bado sana........ tena nasikia wako na mtu mmoja msanii wa kutupwa anaitwa seneta misele!!!!!!!!!!!! hahaha.......... wanacheza hawa...........
haya sasa watamjua JK na watajua kuwa CCM inajua siasa............... subirini muone.................
lto my surprise........... sikuwahi kufikiri kama MM anaweza kuandika yale aliyooandika!!!!!!!!!!!!... nimeshangaa sana...................
Watu wanaenda kwenye sanamu ya Lincoln hapa US na wanatembelea makumbusho ya George Washington! kila siku kwa maelfu! Hakuna kosa kwenda kutembelea kaburi la muasisi wa Tanzania, as a matter of fact hata CUF, CHadema na wengine wangeweza kwenda hata kama hawatalia lakini kuonesha chochote wanachofikiria. CCJ wameonesha hawana wa kumuogopa na hawana haya kuonekana wanatambulishwa na Nyerere.
agreed, lakini sio kulialia na kuabudu kaburi,
kulipigia magoti etc. hii ni cheap popularity na we have had enough in the past few decades!!! We need brave hearts kama Kagame
Kwa mwendo huu wa machozi, watalia sana hadi mwisho wa october... maana vya kulilia viko vingi mno
albinos
EPA
madini
matumizi makubwa ya serikali
usimamizi mbovu wa maendeleo kwenye halmashauri
dominance ya donors kenye plans zetu
kweli unaamini walikuwa wanaabudu kaburi? maana unachosema ni imani tu.
agreed completely, lakini wao walienda na kuyafanya waliyoyaamini kwa vitendo na si kulialia. BTW, Kagame alishawahi kumtukana nyerer hadharani kuhusu failures zake, unakumbuka?Ukimuuliza Kagame shujaa wake ni Nyerere, the same goes with Museveni!
I am focused on hao wanaolialia, with fake faces... at least wanaocheka tumeshajua ni watu wa namna gani,Angalia wao wanalia kuliko hawa wanaocheka cheka!
as far as i am concerned, hakuna wanachofanya pale zaidi ya kuabudu.. walishafanya hata CCM wakaenda pale, wakachangamsha mji na kuondoka patupu! Kumbuka si gestures au maneno, ni matendo
agreed completely, lakini wao walienda na kuyafanya waliyoyaamini kwa vitendo na si kulialia. BTW, Kagame alishawahi kumtukana nyerer hadharani kuhusu failures zake, unakumbuka?
I am focused on hao wanaolialia, with fake faces... at least wanaocheka tumeshajua ni watu wa namna gani,
Makucha ya CCJ hadharani leo - gazeti la Mwananchi
CHAMA cha Jamii (CCJ) leo kinaanza kuonyesha hadharani ubavu wake kitakapofanya mkutano wake wa kwanza wa hadhara, jijini Dar es Salaam, kikiwa kimealika vigogo wa CCM kushuhudia.
Katibu Mwenezi wa CCJ, Dickson Ng'hily alitamba kuwa uzinduzi huo utatia fora na kuonyesha jinsi chama hicho kinachotafuta usajili wa kudumu kwa udi na uvumba, kilivyojiandaa kuichukua nchi.
Akionekana kujiamini, alisema katika uzinduzi huo ambao utafanyika Mwananyamala 'A', amewaalika vigogo wa CCM kushuhudia.
"Tumevialika vyama vyote vya siasa... CCM tumemwaliki mwenyekiti (Rais Jakaya Kikwete), Katibu Mkuu Yusuf Makamba na mweka hazina wao," alisema Ngihily.
Mbali na wanasiasa hao, Ng'hily alisema amemwalika Msajili wa Vyama vya Siasa John Tendwa ili ashuhudie wakitangaza kujikusanyia zaidi ya wanachama 7,000.
Lengo la bashasha hizo, alisema, ni kuudhihirishia umma uwezo wa CCJ ikiwa ni siku moja kabla ya kuwasilisha majina ya wanachama wake kwa msajili.
"Kesho tutampelekea Mheshimiwa Tendwa majina ya wanaotuunga mkono ili kukamilisha taratibu za kupata usajili wa kudumu," alisema Ng'hily akidai lengo la chama hicho ni kuwahi kushiriki uchaguzi ujao.
Kwa CCM inavyohangaika, kwa serikali inavyohangaika, kwa Tendwa anavyohangaika na sasa hata Hamad naye anavyoanza kuhangaika, mmh yangu macho. Walituma maombi kwa Tenda, wakapata usajili wa muda baada ya wiki tatu na sasa Jumatatu watatinga kwa Tenda kwa usajili wa kudumu, mmh CCJ wameweza kuweka indiketa ingawaje wanakoelekea bado sikujui. Lakini kwa kasi ya mwendo wao wa Tsunami, ni heri kuwapisha kwani ni hatari kujaribu kuwazuia, waweza kujikuta unazolewa na maji au unageuzwa hasusa. Si ajabu kuna waheshimiwa wakabwaga manyanga kwa hofu.
SISI WANANCHI WAZALENDO tuliokutana hii leo tarehe ... ... ... jijini Dar es Salaam kutekeleza wajibu wetu Kikatiba wa kuunganisha pamoja mawazo yetu na kuunda chama cha siasa kinachozingatia changamoto zote zinazoikabili nchi yetu tangu baada ya uhuru na kichachobeba matarajio ya wananchi ya leo na kesho, kwa jina la CHAMA CHA JAMII, kwa kifupi CCJ, ambacho lengo lake kuu ni kuleta mageuzi ya kitaifa ya kidemokrasia, kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa faida yetu sote sasa na ya vizazi vijavyo.
KWA KUWA matumizi bora na endelevu ya utajiri wa rasilimali yanawezekana tu katika Taifa ambalo lina uongozi wenye uchungu na nchi na unaozingatia maadili kama yalivyoainishwa na kusimamiwa kidete na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere; Taifa ambalo linawaandaa vijana wake vizuri kielimu na kimaadili; ambalo wanawake wana fursa sawa na wanaume; na ambalo mchango wa kila raia awe kijana, mzee, mlemavu n.k unatambuliwa na kuthaminiwa; na
Kwa kuwa adui mkubwa wa haki na maendeleo ni UFISADI, yaani rushwa, ubadhirifu wa mali ya umma na uporaji wa rasilmali za Taifa, adui ambaye hana budi kupigwa vita kwa nguvu zote
[FONT=Comic Sans MS, cursive]IMANI, MALENGO NA MADHUMUNI[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Chama Cha Jamii kinaamini kwamba:[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa;[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake;[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Hifadhi na ustawi wa jamii yetu vitapatikana kwa matumizi bora na endelevu ya utajiri wa rasilimali tulizonazo, serikali kuwajibika kwa wananchi ambao ni msingi wa mamlaka yote katika nchi, na kupiga vita ufisadi kwa nguvu zetu zote;[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Umoja ni nguvu ya pekee ya wananchi katika kujenga jamii yenye usawa na uhuru na katika kuondoa umaskini, ujinga, maradhi na kupambana na ufisadi.[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Malengo na Madhumuni ya Chama:[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Malengo na Madhumuni ya CCJ yatakuwa kama ifuatavyo:-[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Kuhakikisha kwamba utajiri wa rasilimali tulizonazo unatumika kwa maendeleo ya wananchi kwa kuondoa umaskini, ujinga, na maradhi;[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Kuhakikisha kwamba uwekezaji unatekelezwa kwa kumnufaisha mwananchi kutokana na rasilimali alizonazo na zinazomzunguka na kamwe usitoe fursa kwa wageni kuhodhi rasilimali hizo bila ushiriki wa wananchi. [/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Kuhakikisha kwamba shughuli za uchumi haziruhusu ulimbikizaji wa mali au njia kuu za uchumi katika mamlaka ya watu wachache binafsi;[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Kujenga umoja wa kitaifa kwa kutoa fursa sawa na za kutosha kwa wananchi wote wake kwa waume bila kujali rangi, kabila, dini au hali ya mtu;[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Kuhakikisha kwamba aina zote za dhuluma, vitisho, ubaguzi, uonevu, rushwa au ufisadi zinatokomezwa nchini; [/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Kuhifadhi na kuendeleza mazingira kwa ajili ya uhai na afya ya binadamu na viumbe vingine na kwa faida ya vizazi vijavyo ;[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Kulinda haki ya kila raia ya kujielimisha au kutafuta elimu katika fani anayopenda hadi kufikia upeo wowote.[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Kuhakikisha kuwa mfumo wetu wa uchaguzi ni huru na unaotoa fursa stahili kwa wananchi kuchagua viongozi wanaowataka bila kurubuniwa kwa rushwa na takrima za aina yote yote ile;[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive]Kudumisha maadili ya uongozi (uadilifu, uwajibikaji kwa wananchi na kutenda haki) katika chama na serikali kama yalivyoainishwa na kusimamiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika uongozi wake kitaifa uliotukuka.[/FONT]
- [FONT=Comic Sans MS, cursive](10) Kushinda katika chaguzi zote zinazofanyika nchini kwa kutumia ushawishi wa nguvu ya hoja na kuunda Serikali Kuu na Serikali za Mitaa katika pande zote mbili za Muungano ili kuiwezesha CCJ kutafsiri malengo na madhumuni yake kama yalivyoainishwa kwenye ibara hii kwa vitendo[/FONT]
you are wrong..atadanganya watanzania wsio na upeo.Binadamu wote tumeumbwa na feeling na tuna emotion hiv yo tuna react hajalishi wewe ni kamanda au ni infantry. Na wakipata hasira zitawajengea feeling ya kuwafanay wawe na uchungu na kuwa focused zaidi. Mimi nadhani ni jambo zuri kuwa wameenda kujazwa hasira Butiama. Hakuna aliyepata picha ya mkutano wao wa hadhara???
I understand unachotaka niamini... kamwe sitafagilia chama simply kimekuja wakati wa uchaguzi... i wont, and you know what? ni chama kilichokuja kulamba mabaki ya wanamchujo wa vyama vingine na kuwasimamisha, ni chama chenye tamaa ya kura na si vingivevyo. let me tell you some mkuu, kuandika sera na mikakati ni rahisi sana, kutumia tool kufanikisha sera ni kazi ngumu kiasi, kutafsiri sera na mikakati ni kazi zaidi, na kusustain maazimio ndio ngumu kabisaaaa!!! you cant come in six months expecting to change something that is 45 years and still in the makingHujui fake faces zao; huna msingi wa kudai hilo isipokuwa hisia zako tu. Why are they fake compared to CCM, Chadema CUF, TLP au any other party? Unataka tuamini kuwa vyama hivi vingine ndiyo "real"?
Duh Hawa jamaaa wapo nyuma kweli.......... Yani ndo wanagundua hilo leo au ndo publicity??? 🙁(
I understand unachotaka niamini... kamwe sitafagilia chama simply kimekuja wakati wa uchaguzi... i wont, and you know what? ni chama kilichokuja kulamba mabaki ya wanamchujo wa vyama vingine na kuwasimamisha, ni chama chenye tamaa ya kura na si vingivevyo. let me tell you some mkuu, kuandika sera na mikakati ni rahisi sana, kutumia tool kufanikisha sera ni kazi ngumu kiasi, kutafsiri sera na mikakati ni kazi zaidi, na kusustain maazimio ndio ngumu kabisaaaa!!! you cant come in six months expecting to change something that is 45 years and still in the making
nafananisha na kiwavi, kiumbe anayekuja baada ya watu kupanda na kupalilia, nafananisha na nzige, nafananisha na mende nk. Yes kimepata freerides kutokana na publicity ya vyama vilivyopo sasa, and you know why? because we have lots of fake people in politics, we have boot lickers, and butt lickers, let alone buddy lickers!!
Do you know who gave CCJ platform ya kupata hiyo acknowledgment from other parties? Yes, ni media, ni lobbyists etc... Should we go further?? probably next time maana kuna zile funds za good governance ambazo baadhi yetu tunazifaidi tukidhani tunajenga kumbe ni divide and rule... ONE DAY YOU WILL UNDERSTAND, OR MAYBE YOU KNOW EXACTLY WHAT I MEAN,
Let me tell you some mkuu, i am not against CCJ, but i am against their cheap politics.. na kulialia is what i recall about CCJ, do you know the reason?? its the first image from CCJ that caught my eyes!!