Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,092
- 43,265
Hapa ndo tunamtaka MMKjj aje kutoa majibu!!
Ndiyo unagundua leo! ilipangwa toka 2008 utekelezaji ukaanza May 2009 kwa watangulizi kufukuzwa jeshini + Newspapers + Msajili kufanya usanii kama vile anaisumbua Ccj wakati si kweli + Leading Journalists walikuwemo + Wapambanaji(Mpendazoe) +........+ walipoona mpango haujafanikiwa viongozi feki wakajifanya wamevulunda kwenye uhakiki lengo likiwa ni kumsafisha Msajili........... unfortunately it is a loosing battle.naomba hili isiwe kweli;
- kwamba ccj ilikuwa tego.
- kwamba ccj iliundwa ili kuwafanya wapinzani wa kundi la watawala
ndani ndani ya ccm wajitokeze kwa kuhamia ccj ili iwe rahisi
kuwamaliza kisiasa na kuondoa upinzani ndani ya ccm.
- kwamba baada ya tego kuonekana halina mafanikio kikawekwa chambo
kiitwacho mpendazoe ili wengine wafuate
kwamba waliowekewa tego la ccj wameshtuka na hakuna aliyenasa
kwamba ccm inapanga tego lingine ili kuwamaliza wapinzani kabla ya mambo hayajaharibika
naomba isiwe kweli hata chembe.
Baadhi ya watu humu walikuja juu na kukisakama CCJ na kuukandia ujio wake. Leo hii, Mzee aliyekuwa anawa-spoon feed habari za CCJ kwa nia njema kabisa mkaanza kumshutumu na kukijia juu CCJ. Sasa ameamua kuakaa kimya mmeanza kumchokoza. Hivi ninyi wenyewe hamuwezi kwenda kwenye 'news rooms' kutafuta taarifa za CCJ? Badala yakufanya homework hiyo mmekalia uvivu tu na kutaka kuwa spoon fed!
Rome was not built in a day. Let CCJ be.
CCJ hawana lolote nafikiri walifikiri siasa rahisi. Walisahau kumuliza Dr Slaa badala yake wakamdharau. Nadhani wataanza kutafuta ushauri sasa.
This sentence is very 'provocative' I might say! Yeye ni nani maana yake nini?Yeye ni nani mpk tusimuulize imekuaje?
Inawezekana bado iko kwenye makabrasha yaliyohifadhiwa kwenye makabati tayari kufanyiwa kazi baada ya uchaguzi mkuu. Bahati mbaya ni kuwa kama uchaguzi mkuu utapita bila kujua nini kifuatie basi tunaweza kabisa tukaisahau CCJ. I hope that is not the case.Mbona kimwa mkuu? au mnajipanga kumshtaki Msajili wa vyama?
Au mpo mezani mnashughulikia ushauri wa Mzee Mtei?
Sisi wapenda mabadiliko/mapinduzi ya kweli tunawasikilizia,
Taafaadhali isije kuwa decoy mkuu!!!
majibu mengine hayatoshi kwa maneno. Hivi kuna watu humu wamewahi kwenda jeshini?
wrong.. tatizo lako unafikiri niko defeated au CCJ iko defeated... well I can't convince you otherwise.
You must be out of your mind! Nyerere died a hero inside Tanzania, Africa and the world because of his Ujamaa. Umesahau jinsi vijana kutoka kona zote za Tanzania waliojitokeza kuupokea mwili wake Dar airport na kulifuata jeneza waki-joghadi Msasani bila kuchoka wakiimba nyimbo zilizojaa sifa, kwa mkombozi wao Baba wa Taifa lao? Aliwezaje kuwa hero kiasi hicho - ni kutokana na huo Ujamaa wake unaoucheka hahahaha!
Wakati unadai MMKJJ ni nani kumbuka kwamba Nyerere naye wazungu walijiuliza hivyohivyo kwamba mzanaki huyu ni nani kwani kiasi cha kudhani kwamba anaweza kuongoza mapambano dhidi ya sisi wazungu na uzungu wetu. Yaliyotokea kama huyajui waulize wanaosoma jinsi Uhuru wa nchi hii ulivyopiganiwa na kupatikana. Wee dharau tu kwa kuuliza fulani ni nani, usijejikuta unaacha mdomo wazi huko mbele ya safari kwa mshangao!
Defeat in relation to the matter at hand. Je CCJ itashiriki uchaguzi 2010? This is a simple Yes or No question! I think NO. But wld be impressed if you can prove me wrong!!
Mmekuwa brain washed kabisa! Nyerere aliua, na kufanya watu wengi sana kukimbia Tz...anyone who dared to challenge him! For me, he is not the great leader most believe he is! i believe his greatest achievement ni unity kwa Watz, kwa mengine alikuwa hovyo tu!
why would you be impressed?
Sisi wakina nani? wapinzani au?Hongera sana!! Unafikiri jeshi zima la Marekani linalopigana Iraq au Afghanistan wote wako Iraq na Afghanistan? Ungejua mambo yanayofanyika Northern Command au Pentagon yenye effect Kandahar au Baghdad ungeshangaaa.. Msijidanganye kwa kuamini kuwa mtashinda kwa "the ground approach tu". Shauri lenu.
Ni kweli tunahitaji kujua nini hatima naona ukimya umetawala ..hakuna report tena za CCJ kulikoni??
aliua kina nani? tupe idadi tu ya watu waliouawa nje ya sheria? Hadi anajiuzulu mwaka 1985 aliidhinisha hukumu za kunyongwa kwa watu wawili tu (ndani ya karibu miaka 25 ya utawala wake) wakati Mwinyi wakati anaondoka alikuwa ameidhinisha zaidi ya watu 20 ndani ya miaka 10, Kikwete ndani ya miaka mitano utaogopa! Mkapa aliidhinisha siyo hata kunyongwa mauaji ya zaidi ya watu 20 Pemba na Mwembeyanga!
watu "wengisana " waliokimbia nchi ni wapi hao ambao wasingekimbia kwa sababu nyingine?