Ccbrt

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Waungwana naomba kufahamu. Hivi CCBRT hospital???? (nadhani wanashughulika na macho zaidi??????(sina uhakika) huduma zao ni za kulipia au ni charity organisation charging minimum fee!!!! Nimempeleka mgonjwa wakaniambia ukusubiri foleni utamaliza mwezi, toa 500,000 Tsh upasuliwe uondoke!!! Ndio taratibu? Naomba kujua.
 
Back
Top Bottom