CC ya CCM: Ridhiwani 'hakujadiliwa'

CC ya CCM: Ridhiwani 'hakujadiliwa'

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Leo hapa Dodoma kilifanyika Kikao cha Kamati Kuu (CC) ya CCM. Kiliitishwa hasa kwa ajenda ya kujadili na kupitisha jina la Mgombea wa Ubunge katika Uchaguzi Mdogo katika Jimbo la Chalinze,mkoani Pwani.Kikao husika kiliongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Taarifa za kuaminika toka ndani ya kikao hicho zinaonesha kuwa hakukuwa na mjadala juu ya Mgombea wa Chalinze na badala yake CC ililipitisha tu jina la aliyeongoza katika kura za maoni Jimboni humo. Muda mwingi wa CC ulitumika kujadili mvutano unaoendelea katika Bunge la Katiba na CC imeandaa na kutoa maagizo kwa viongozi wa Wajumbe watokanao na CCM.

"Hakukuwa na majadiliano. Hata kwangu ni mara ya kwanza kuona mambo haya.Mwenyekiti alitupisha kwakuwa mmoja wa wagombea anamuhusu. Majina ya wagombea wa ndani ya chama yalisomwa pamoja na kura zao na Kaimu Mwenyekiti aliwataka Wajumbe waache matokeo kama yalivyo ili kuheshimu demokrasia ndani ya chama na Jimboni Chalinze. Wajumbe hawakuwa na ubishi. Jina lililoongoza la Ridhiwani Jakaya Kikwete lilipita kirahisi hivyo.Hakukuwa na ubishani wowote wala mjadala" kilidokeza chanzo hicho ambacho ni Mjumbe wa CC toka Zanzibar

"Tulitumia muda mwingi tulilijadili Bunge la Katiba.CC imetoa maelekezo kwa Wajumbe wote.Maagizo husika ni ultimutum kwa Wajumbe wote.Msimamo wa chama ni ule ule. Ni kura ya WAZI na Serikali mbili. Chama kubadilika ni ngumu sana hasa wakati huu ambapo panaonekana kama kuna ushindani. Hatutakubali kuonekana tumeshindwa" kiliongeza chanzo hicho

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)
 
CCM inazidi kupoteza matumaini ya wanachama wake
 
Riz hakuchaguliwa na wanachama halali wa maccm, walitumika wanajeshi nna vijana wa JKT. Hili lipo wazi

Hii ni sababbu kubwa kwani Madenga anao ushadi ila ubunge hapati
 
sasa kwanini tunapotezeana muda..sasa si waamue tu hili la kura ni kupoteza muda...
 
Huko CCM nani angeanzisha kumjadili Ridhwani na amjadili kwa sababu ipi ??
Labda kama anayemjadili angekuwa hataki kazi ya kujikombakomba kwa Mwenyekiti wake
 
Chadema ndiyo walipmpitisha Rizmoko kwenye kura za maoni, kwasababi wanafahamu ufisadi mkubwa na ujambazi wake wa kujimilikisha ardhi za watanzania, na kujihusisha na wizi wa fedha za watanzania kupitia jina la babake watampiga kipigo cha haja kweli. CDM wapo makini sana
 
uongozi wa nchi hii ni BMW yan Baba Mama Watoto ni ufalme
 
Leo hapa Dodoma kilifanyika Kikao cha Kamati Kuu (CC) ya CCM. Kiliitishwa hasa kwa ajenda ya kujadili na kupitisha jina la Mgombea wa Ubunge katika Uchaguzi Mdogo katika Jimbo la Chalinze,mkoani Pwani.Kikao husika kiliongozwa kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Taarifa za kuaminika toka dani ya kikao hicho zinaonesha kuwa hakukuwa na mjadala juu ya Mgombea wa Chalinze na badala yake CC ililipitisha tu jina la aliyeongoza katika kura za maoni Jimboni humo. Muda mwingi wa CC ulitumika kujadili mvutano unaoendelea katika Bunge la Katiba na CC imeandaa na kutoa maagizo kwa viongozi wa Wajumbe watokanao na CCM.

"Hakukuwa na majadiliano. Hata kwangu ni mara ya kwanza kuona mambo haya.Mwenyekiti alitupisha kwakuwa mmoja wa wagombea anamuhusu. Majina ya wagombea wa ndani ya chama yalisomwa pamoja na kura zao na Kaimu Mwenyekiti aliwataka Wajumbe waache matokeo kama yalivyo ili kuheshimu demokrasia ndani ya chama na Jimboni Chalinze. Wajumbe hawakuwa na ubishi. Jina lililoongoza la Ridhiwani Jakaya Kikwete lilipita kirahisi hivyo.Hakukuwa na ubishani wowote wala mjadala" kilidokeza chanzo hicho ambacho ni Mjumbe wa CC toka Zanzibar

"Tulitumia muda mwingi tulilijadili Bunge la Katiba.CC imetoa maelekezo kwa Wajumbe wote.Maagizo husika ni ultimutum kwa Wajumbe wote.Msimamo wa chama ni ule ule. Ni kura ya WAZI na Serikali mbili. Chama kubadilika ni ngumu sana hasa wakati huu ambapo panaonekana kama kuna ushindani. Hatutakubali kuonekana tumeshindwa" kiliongeza chanzo hicho

Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)
Hiki kiwanda chenu cha BAVICHA cha kuchonga uwongo, majungu na ulaghai kilichoko katika mtaa wa ufipa hakiwezi kuwasaidia katika mbio zenu za kisiasa.

Mnajitahidi kuchonga uwongo lakini mnajikuta mnapigwa kofi la ukweli kama andiko lako linavyojibainisha.

Kuonyesha kuwa hufahamu hata unachokiongea ni pale unapoandika kuwa CCM ina Kaimu Mwenyekiti. Katiba ya CCM 2012 haina cheo cha kiongozi anayeitwa Kaimu Mwenyekiti. CCM siyo CHADEMA, kwa akili zenu fupi mnadhani mpangilio wa viongozi wa CCM ni sawa na CHADEMA kwa vile CHADEMA kwa kiwango kikubwa wali copy & Paste katiba ya CCM.

Mwenyekiti wa CCM taifa ana Makamu wawili wa Mwenyekiti wa CCM.

Mwenyekiti wa kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM ni Mwenyekiti wa CCM taifa na kama hayupo basi kikao kitaongozwa na mmoja wa Makamu wa Mwenyekiti kama Katiba inavyosema katika Ibara ya 108 (3),
(3) Mwenyekiti wa CCM atakuwa Mwenyekiti wa Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, lakini Mwenyekiti wa CCM asipoweza kuhudhuria, mmoja wa Makamu wa Mwenyekiti atakuwa Mwenyekiti wa muda wa Mkutano huo.
Hata hicho kikao uanchokisema hufahamu hata kimefanyika lini zaidi ya kusoma kwenye media na kuja hapa kujenga hoja za kilaghai ili uweze kuaminisha watu kama wewe uko karibu na utendaji wa CCM wakati hufahamu hata milango ya ofisi za chama achilia mbali kufahamu utendaji wake.

Wewe niwa kupuuzwa tu na story zako hizi za kutunga kila thread unazoleta hapa kila mara ili uwaokote wenye fikra fupi.

Nisalimie Petro Mselewa kama ukimuona.
 
Hiki kiwanda chenu cha BAVICHA cha kuchonga uwongo, majungu na ulaghai kilichoko katika mtaa wa ufipa hakiwezi kuwasaidia katika mbio zenu za kisiasa.

Mnajitahidi kuchonga uwongo lakini mnajikuta mnapigwa kofi la ukweli kama andiko lako linavyojibainisha.

Kuonyesha kuwa hufahamu hata unachokiongea ni pale unapoandika kuwa CCM ina Kaimu Mwenyekiti. Katiba ya CCM 2012 haina cheo cha kiongozi anayeitwa Kaimu Mwenyekiti. CCM siyo CHADEMA, kwa akili zenu fupi mnadhani mpangilio wa viongozi wa CCM ni sawa na CHADEMA kwa vile CHADEMA kwa kiwango kikubwa wali copy & Paste katiba ya CCM.

Mwenyekiti wa CCM taifa ana Makamu wawili wa Mwenyekiti wa CCM.

Mwenyekiti wa kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM ni Mwenyekiti wa CCM taifa na kama hayupo basi kikao kitaongozwa na mmoja wa Makamu wa Mwenyekiti kama Katiba inavyosema katika Ibara ya 108 (3),

Hata hicho kikao uanchokisema hufahamu hata kimefanyika lini zaidi ya kusoma kwenye media na kuja hapa kujenga hoja za kilaghai ili uweze kuaminisha watu kama wewe uko karibu na utendaji wa CCM wakati hufahamu hata milango ya ofisi za chama achilia mbali kufahamu utendaji wake.

Wewe niwa kupuuzwa tu na story zako hizi za kutunga kila thread unazoleta hapa kila mara ili uwaokote wenye fikra fupi.

Nisalimie Petro Mselewa kama ukimuona.

uwe unaelewaga wakati mwingine. umeambiwa m/kiti alitoka kwakuwa Ritz anamuhusu..sasa anaebaki si atakaimu uenyekt?
 
Yaani wewe hadi unapata cheo hicho CCM hujui maana ya Kaimu Mwenyekiti??? Bure kabisa....wewe. Hudumia ndoa yako tu changa.Siasa zimekushinda
 
the 'The Choosen', huyo ndiye MwanaDiwani, mmoja katika misukule inayoshinda JF kukitetea chama cha mafisadi kwa malipo ya vipande thelathini vya fedha...hiyo kazi inahitaji moyo. Eti ugomvi hapa ni neno kukaimu! Hilo neno halimo kwenye msamiati wa wakereketwa...sasa sijui akitoka Mwenyekiti wa Kikao hali inakuwaje!
 
Last edited by a moderator:
Tumeanza kurithishana uongozi.Kuna demokrasia hapo kweli?
Refer Chalinze and Kalenga
 
hiki kiwanda chenu cha bavicha cha kuchonga uwongo, majungu na ulaghai kilichoko katika mtaa wa ufipa hakiwezi kuwasaidia katika mbio zenu za kisiasa.

Mnajitahidi kuchonga uwongo lakini mnajikuta mnapigwa kofi la ukweli kama andiko lako linavyojibainisha.

Kuonyesha kuwa hufahamu hata unachokiongea ni pale unapoandika kuwa ccm ina kaimu mwenyekiti. Katiba ya ccm 2012 haina cheo cha kiongozi anayeitwa kaimu mwenyekiti. Ccm siyo chadema, kwa akili zenu fupi mnadhani mpangilio wa viongozi wa ccm ni sawa na chadema kwa vile chadema kwa kiwango kikubwa wali copy & paste katiba ya ccm.

Mwenyekiti wa ccm taifa ana makamu wawili wa mwenyekiti wa ccm.

Mwenyekiti wa kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya ccm ni mwenyekiti wa ccm taifa na kama hayupo basi kikao kitaongozwa na mmoja wa makamu wa mwenyekiti kama katiba inavyosema katika ibara ya 108 (3),

hata hicho kikao uanchokisema hufahamu hata kimefanyika lini zaidi ya kusoma kwenye media na kuja hapa kujenga hoja za kilaghai ili uweze kuaminisha watu kama wewe uko karibu na utendaji wa ccm wakati hufahamu hata milango ya ofisi za chama achilia mbali kufahamu utendaji wake.

Wewe niwa kupuuzwa tu na story zako hizi za kutunga kila thread unazoleta hapa kila mara ili uwaokote wenye fikra fupi.

Nisalimie petro mselewa kama ukimuona.

unadhani mapovu yako yanaweza kubadili ukweli kwamba wagombea wa chalinze hawakujadiliwa bali alipitishwa aliyeshinda (hata kama alitumia wanajeshi) ?
 
the 'the choosen', huyo ndiye mwanadiwani, mmoja katika misukule inayoshinda jf kukitetea chama cha mafisadi kwa malipo ya vipande thelathini vya fedha...hiyo kazi inahitaji moyo. Eti ugomvi hapa ni neno kukaimu! Hilo neno halimo kwenye msamiati wa wakereketwa...sasa sijui akitoka mwenyekiti wa kikao hali inakuwaje!

mkuu habari yako bhana , hivi aden rage aliwahi kuhojiwa kwa ule uharamia aliomtendea yule kamanda wa cdm pale dodoma akishirikiana na chatanda ?
 
Last edited by a moderator:
uwe unaelewaga wakati mwingine. umeambiwa m/kiti alitoka kwakuwa Ritz anamuhusu..sasa anaebaki si atakaimu uenyekt?
Hayo ni mawazo na fikra zako.

Kwani wewe ukilewa huwa unafanya hiki ninachokifanya?.

Kikao cha Kamati kuu ya halmashauri kuu ina kanuni za uendeshaji na kanuni hizo, haziwezi kutafsiliwa kulingana na mtazamo wako.
 
Yaani wewe hadi unapata cheo hicho CCM hujui maana ya Kaimu Mwenyekiti??? Bure kabisa....wewe. Hudumia ndoa yako tu changa.Siasa zimekushinda

Hapo ndipo utakapo jua uwezo wa MwanaDiwani na wenzake huko ndani ya CCM. Kama anashindwa kulielewa hilo tuu ataelewa nini? Hawa jamaa ndio maana wanaitwa mizigo.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom