CC ya CCM: Ridhiwani 'hakujadiliwa'

CC ya CCM: Ridhiwani 'hakujadiliwa'

tumeanza kurithishana uongozi.kuna demokrasia hapo kweli?
Refer chalinze and kalenga

uuuuuuwiiii?? ?
Atanzania tumeletewa dhaifu jingine la kiuhaini na kimagendo juu ya rasilimali zatu!
Eeeee mola laani kizazi chote cha c.c.yem .
 
mkuu habari yako bhana , hivi aden rage aliwahi kuhojiwa kwa ule uharamia aliomtendea yule kamanda wa cdm pale dodoma akishirikiana na chatanda ?
Erythrocyte, ni vigumu kuamini na vigumu kumeza!
Eti hadi watu kama Aden Rage nao ni wajumbe katika Bunge letu la Katiba!

th

Kuna ajabu gani mtu kama huyu kutetea kura ya wazi!
Bastola nje nje tena kwa uwazi kabisa!
Eti Bunge la Katiba...
 
Yaani wewe hadi unapata cheo hicho CCM hujui maana ya Kaimu Mwenyekiti??? Bure kabisa....wewe. Hudumia ndoa yako tu changa.Siasa zimekushinda
Wakosa hoja ambao mara nyingi huwa wanasumbuliwa na imferiority complex kama wewe huwa wanakimbilia kutaka kuwaaminisha wasomaji kuwa wanayeongea naye wanamfahamu ili hoja zako zikubalike.

Mambo ya ndoa yanaingiaje hapa kwenye hoja. Usijifanye unanifahamu wakati hata hunifahamu.

Eti siasa zimenishinda. Wewe siasa ndiyo umezishinda.

Jenga hoja kulikana na topic iliyoko hapa kama unadhani hakuna cha kuandika unaweza kusoma na kuondoa. Siyo lazima kila unachokisoma uweke comment.
 
Hiki kiwanda chenu cha BAVICHA cha kuchonga uwongo, majungu na ulaghai kilichoko katika mtaa wa ufipa hakiwezi kuwasaidia katika mbio zenu za kisiasa.

Mnajitahidi kuchonga uwongo lakini mnajikuta mnapigwa kofi la ukweli kama andiko lako linavyojibainisha.

Kuonyesha kuwa hufahamu hata unachokiongea ni pale unapoandika kuwa CCM ina Kaimu Mwenyekiti. Katiba ya CCM 2012 haina cheo cha kiongozi anayeitwa Kaimu Mwenyekiti. CCM siyo CHADEMA, kwa akili zenu fupi mnadhani mpangilio wa viongozi wa CCM ni sawa na CHADEMA kwa vile CHADEMA kwa kiwango kikubwa wali copy & Paste katiba ya CCM.

Mwenyekiti wa CCM taifa ana Makamu wawili wa Mwenyekiti wa CCM.

Mwenyekiti wa kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM ni Mwenyekiti wa CCM taifa na kama hayupo basi kikao kitaongozwa na mmoja wa Makamu wa Mwenyekiti kama Katiba inavyosema katika Ibara ya 108 (3),

Hata hicho kikao uanchokisema hufahamu hata kimefanyika lini zaidi ya kusoma kwenye media na kuja hapa kujenga hoja za kilaghai ili uweze kuaminisha watu kama wewe uko karibu na utendaji wa CCM wakati hufahamu hata milango ya ofisi za chama achilia mbali kufahamu utendaji wake.

Wewe niwa kupuuzwa tu na story zako hizi za kutunga kila thread unazoleta hapa kila mara ili uwaokote wenye fikra fupi.

Nisalimie Petro Mselewa kama ukimuona.
huyu mzee tupatupa huwaga ni mnafiki sana,nadhani kwahumu jf anaongoza,akiwa kikongwe lazima awe kigagula.
 
the 'The Choosen', huyo ndiye MwanaDiwani, mmoja katika misukule inayoshinda JF kukitetea chama cha mafisadi kwa malipo ya vipande thelathini vya fedha...hiyo kazi inahitaji moyo. Eti ugomvi hapa ni neno kukaimu! Hilo neno halimo kwenye msamiati wa wakereketwa...sasa sijui akitoka Mwenyekiti wa Kikao hali inakuwaje!
Kama mimi unaniona ninashinda hapa lazima na wewe utakuwa unashinda hapa.

Sasa wewe unashinda hapa ukifanya nini?.
 
mkuu habari yako bhana , hivi aden rage aliwahi kuhojiwa kwa ule uharamia aliomtendea yule kamanda wa cdm pale dodoma akishirikiana na chatanda ?
Uwezo wako wa kujenga hoja uko chini sana.

Hii comment kwa fikra na mtazamo unadhani inahitaji kujibiwa kwa hoja.

Hata maana ya neno uharamia ni tatizo, utaelewa mantiki yake katika kuutenda uharamia.

Wewe ni mtu wa kuhurumiwa.
 
huyu mzee tupatupa huwaga ni mnafiki sana,nadhani kwahumu jf anaongoza,akiwa kikongwe lazima awe kigagula.
Huwa analeta hoja za kutaka kuwaaminisha wanaJf kama ni mmoja wa watu wanaofanya kazi ofisi ndogo ya makao makuu wakati hafahamu hata milango ya ofisi.

Huu ni mwendelezo wa kuuza ulaghai kwa wananchi wasiofahamu kinachoendelea hapa Jf.
 
Hii nchi inaelekea wapi? Ama kweli Ridhwani hafanani na Makongoro
 
Hapo ndipo utakapo jua uwezo wa MwanaDiwani na wenzake huko ndani ya CCM. Kama anashindwa kulielewa hilo tuu ataelewa nini? Hawa jamaa ndio maana wanaitwa mizigo.

Sent from my iPad using JamiiForums
Kulielewa lipi wakati Katiba ya CCM iko wazi kwa kila mpenda kujifunza anaweza tu kuisoma.

Kanuni za utendaji wa chama ziko wazi na kwa kuwasaidi watu kama wewe nimewawekea kipengele kwa msaada zaidi.

Unaweza kuendelea kuamini kile unachodhani ni kweli.
 
Uwezo wako wa kujenga hoja uko chini sana.

Hii comment kwa fikra na mtazamo unadhani inahitaji kujibiwa kwa hoja.

Hata maana ya neno uharamia ni tatizo, utaelewa mantiki yake katika kuutenda uharamia.

Wewe ni mtu wa kuhurumiwa.

kweli posho za ccm zinaliwa kijinga sana !
 
Erythrocyte, ni vigumu kuamini na vigumu kumeza!
Eti hadi watu kama Aden Rage nao ni wajumbe katika Bunge letu la Katiba!

th

Kuna ajabu gani mtu kama huyu kutetea kura ya wazi!
Bastola nje nje tena kwa uwazi kabisa!
Eti Bunge la Katiba...

umeandika kwa uchungu sana , kweli wewe ni mzalendo halisi .
 
Kumbe ndiyo maana huyu jamaa hakuja huko leo, tulikuwa naye huku Kalenga akifundisha watu jinsi ya kupiga kura. Kwakweli sasa mh. Philip Mangula kachoka sana, siyo yule niliyekuwa namfahamu miaka ile ya 90's.

Last edited by a moderator:
Hayo ni mawazo na fikra zako.

Kwani wewe ukilewa huwa unafanya hiki ninachokifanya?.

Kikao cha Kamati kuu ya halmashauri kuu ina kanuni za uendeshaji na kanuni hizo, haziwezi kutafsiliwa kulingana na mtazamo wako.

acha kubisha ukweli wewe yaani povu lote hilo ni neno kaimu tu!
 
acha kubisha ukweli wewe yaani povu lote hilo ni neno kaimu tu!
Wewe unaweza kuliona ni neno ambalo halina mantiki katika andiko lakini katika kanuni za undeshaji ni upotoshaji unaotakiwa kuwekwa sawa.

Halafu huyo anakuambia Kikao kilifanyika leo ni uwongo mtupu.
 
Hayo ni mawazo na fikra zako.

Kwani wewe ukilewa huwa unafanya hiki ninachokifanya?.

Kikao cha Kamati kuu ya halmashauri kuu ina kanuni za uendeshaji na kanuni hizo, haziwezi kutafsiliwa kulingana na mtazamo wako.

kwa hiyo neno kukaimu ndilo linakupa shida???? wewe mbulura kweli!
 
Huwa analeta hoja za kutaka kuwaaminisha wanaJf kama ni mmoja wa watu wanaofanya kazi ofisi ndogo ya makao makuu wakati hafahamu hata milango ya ofisi.

Huu ni mwendelezo wa kuuza ulaghai kwa wananchi wasiofahamu kinachoendelea hapa Jf.

njaa mbaya sana,ona inavyokutoa povu hapa jamvini!!!! ni aibu kwako na waliokuzaa!!!
 
Hiki kiwanda chenu cha BAVICHA cha kuchonga uwongo, majungu na ulaghai kilichoko katika mtaa wa ufipa hakiwezi kuwasaidia katika mbio zenu za kisiasa.

Mnajitahidi kuchonga uwongo lakini mnajikuta mnapigwa kofi la ukweli kama andiko lako linavyojibainisha.

Kuonyesha kuwa hufahamu hata unachokiongea ni pale unapoandika kuwa CCM ina Kaimu Mwenyekiti. Katiba ya CCM 2012 haina cheo cha kiongozi anayeitwa Kaimu Mwenyekiti. CCM siyo CHADEMA, kwa akili zenu fupi mnadhani mpangilio wa viongozi wa CCM ni sawa na CHADEMA kwa vile CHADEMA kwa kiwango kikubwa wali copy & Paste katiba ya CCM.

Mwenyekiti wa CCM taifa ana Makamu wawili wa Mwenyekiti wa CCM.

Mwenyekiti wa kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM ni Mwenyekiti wa CCM taifa na kama hayupo basi kikao kitaongozwa na mmoja wa Makamu wa Mwenyekiti kama Katiba inavyosema katika Ibara ya 108 (3),

Hata hicho kikao uanchokisema hufahamu hata kimefanyika lini zaidi ya kusoma kwenye media na kuja hapa kujenga hoja za kilaghai ili uweze kuaminisha watu kama wewe uko karibu na utendaji wa CCM wakati hufahamu hata milango ya ofisi za chama achilia mbali kufahamu utendaji wake.

Wewe niwa kupuuzwa tu na story zako hizi za kutunga kila thread unazoleta hapa kila mara ili uwaokote wenye fikra fupi.

QUOTE] MwanaDiwani,ukimaliza honeymoon uje huku Dodoma tuwahabarishe watanzania kinachoendelea.Tusimame kwenye ukweli.

Mzee Tupatupa

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom