wana Jf, habarini za asubuhi!!!..
bila kuwachosha ningependa kujuwa idadi ya wajumbe wa CC ya ccm kwa majina.
Maana tunaambiwa Lowassa ana karibia 75% ya wajumbe wa Nec wanao Muunga mkono. je CC ina wajumbe wangapi na ni kina nani?
mimi nawajuwa wajumbe wawili na wote wana muunga lowassa mkono waziwazi, nao ni Sophia Simba na Sadif mwenyekiti wa Uvccm.