Cc Miss Chagga

...picha zina changamoto zake....usione tuna post..tumesakwa sana....

nakumbuka enzi zangu kupitia hyo picha ningeandika kitabu kizma hapo...

Hiyo picha ina somo refu sana,,
na ndio maana ya fasihi.
 
Huyo mdada nilijua zimetimia, ila kwa uzi wake nimejua kuwa hamnazo wa mwisho kabisa.

unawashwa eeeeh endelea nitakutafutia mkunaji soon naona zimejaa nimekupotezea bado una mimi tu haya endelea unalolitafuta utalipata soon
 
unawashwa eeeeh endelea nitakutafutia mkunaji soon naona zimejaa nimekupotezea bado una mimi tu haya endelea unalolitafuta utalipata soon

duuh! Hahahaaa nmecheka eti nakutafutia mkunaji,,, jitahidi umkune kwenyewe
 
hahahaa miss u NasDaz merry xmas
So good and beautiful... badly missed u too; sema dah... kuna siku nikakupa "hi" nikiwa nimepiga pajama mchana wa jua kali na dark shades!!! All's remains history... anyway, Merry Christmas and Happy New 2015 to you too.
 
hahahaha that's NasDaz mara ya mwisho kukusaka nikakuta uko banned niliumwa lol
 
Last edited by a moderator:
hahahaha that's NasDaz mara ya mwisho kukusaka nikakuta uko banned niliumwa lol
Ooops, real? Mbona hiyo ilikuwa kitambo kidogo...!! Kumbe ile siku niliyokuja kivingine pande hizi na kukupa hi, basi ningemalizia kabisa kwa kusema "...come on neddy, get no sick am here just chilling!!!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…