CBG inanitesa waungwana naomba msaada

CBG inanitesa waungwana naomba msaada

Kumbukumbuyatorati

Senior Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
152
Reaction score
221
jamani ufaulu wa EDD kombi ya CBG unanitesa maana hata course ya kuchagua sipati wala chuo sijui ni chuo gani kitanifaa.

Ieleweke mimi sio mtu wa kusoma sana,naomba ushauri wenu kwa wazoefu wa haya mambo
 
Kama sio wa kusoma sana..then baki kwenu ule ugali wa bure!
 
Nakashauri ufanye applicationa ya kozi za diploma kama optometry,radiograph, nursing na kadhalika cuz kwa degree huna nafasi nzuri
 
pitia vzuri TCU guide book SUA Udom UD Aru kote unaweza bahatika ukichagua kwa busara
 
Polee sanaaa mkuuu wala usipate tabuuu mkuu chagua diplomaa tuu mkuuuu utatoka faster
 
Umeomba msaada....tulia kuwa na busara why unaanza reply ovyo????
 
Back
Top Bottom