CBE na IFM ni kama Chelsea

CBE na IFM ni kama Chelsea

ebu tuacheni upuuzi.. mnalikosea heshima jukwaa hili..
imefikia hatua watu wanapost upuuzi kwenye jukwaa hili na nnashangaa mods wanawaangalia tu
 
Kuna sehemu nimeandika watoto wa shule?
Mie nimeona nimeandika watoto wa kike

Haya. Naona tunaenda vizuri na hii mada.

Mwanzoni kabisa mwa uzi nilidhani tulikuwa na ishu ya IFM na CBE. Na kwamba mada hasa ilikuwa inahusu watoto wa kike kutoka CBE na IFM kujirahisi kuvua chupi wakipewa vijilifti. Sasa naomba niulize kidogo hapo tena. Kama sikukuelewa utanisaidia tu ndugu yangu.
Tangu lini CBE na IFM zimeacha kuwa shule? Au unataka tuamini kuwa kila shule lazima wasichana wavae mashati meupe na sketi za blu?!!

Pale CBE na IFM kuna wasichana wa shule Mkuu. Nilielewa kuwa ndo haswaa, hao, ambao mwenzetu unasema una shuhuli nao.... Au?
 
Shule ni nini?
 
Back
Top Bottom