***wapo wengi wakina nani?Lakini hata vivyo wapo wengi wa aina hii ambao wako tayari kutoa chochote kile ili mradi wasisimamiwe na wasimamizi wa mitihani.
Hivi sasa taasisi nyingi za elimu nchini na hasa vio vikuu viko katika mitihani, ila cha kushanga zaidi ni baadhi ya wanafunzi wengi wa kike pale CBE hupenda sana kutumia vimbomu na wako tayari kwa kufanya chochote kwa msimamizi ili mradi asiwasimamie sana. Ushahi ni kua baadhi ya wanafunzi wa kike wanaosmaea Diploma ya Business Admistration walikamatwa hivi majuzi na vibomu hivyo. Lakini hata vivyo wapo wengi wa aina hii amabao wako tayari kutoa chochote kile ili mradi wasisimamiwe na wasimamizi wa mitihani.
vibomu kama ilivyozooeleka kwa wanafunzi ni kwamba hujiandika baadhi mapajani, vijikaratasi vyenye majibu tarajiwa na wengine kuulizanza. Utagundua kua hata wale mabindi waliozoea siku zote kuvaa nguzo za kubana vitop, suruali za kubana n.k. Kipindi cha mitihani huvaa baibui ili kuficha zana za mitihani. Hili pia linachangiwa na baadhi ya wasimamizi wabovu wa mitihani. Uchunguzi ufanyike wa kina ili wahusika wafukunzwe. Baadhi ya wanafunzi wanaopenda haki huishia kulalamikatu.
Kweli JF kuna vichwa.Ukitaka kuazisha mada hakikisha umejipanga vizuri siyo unaongea kama upo katika vijiwe kwa kahawa.
na pia vitabu vya 'someni kwa furaha'Ndio wasomi wetu hao.Hata kiswahili cha shida .Sijui hicho kiingereza wanaandika vipi.
Mwakumbuka vitabu vya "Someni bila shida."?
Ndio wasomi wetu hao.Hata kiswahili cha shida .Sijui hicho kiingereza wanaandika vipi.
Mwakumbuka vitabu vya "Someni bila shida."?
.......Hili tatizo halipo CBE tu kwa hapa bongo, kama ni vibomu huu uozo upo vyuo vingi tu vya Tanzania na UDSM ikiwa ndani yake.