AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,426
- 1,401
ndugu umechanganya madawa ,ni chuo cha nit bwana.kutokana na uhitaji mkubwa wa marubani katika soko la ajira chuo cha cbe kampasi ya dsm kimenuia kuanzisha kozi ya kufunza marubani humu humu nchini ili kuzalisha wataalamu wengi wazawa kwa ajili ya soko la ndani na la kimataifa na kuondoa ombwe la kukosekana kwa marubani wazawa hivyo makampuni ya ndege ya humu nchini kuajiri wageni kwa gharama kubwa.