caution!!!usile zaidi ya matano

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
shughuli huja wakati wa haja kubwa...
12800410_1692666291009240_8727496480678474133_n.jpg
 
Kuna juice yake anatengeneza Azam nishakua addicted nayo haipiti siku bila kuinywa.
bidhaa za azam hasa juice nilikuwa mpenzi but zilinivunja moyo nilikutana na zingine zimecha kabla hata mda wa kutumika kuisha
 
Dah! Umenikumbusha boarding school Mkuu! Tumeyala sana na nimatumu kinoma
 
Dah! Umenikumbusha boarding school Mkuu! Tumeyala sana na nimatumu kinoma

Hio kitu umenikumbusha shighatini sekondari ....sijui hata yalitoka wapi hayo madude mwenye historia yake plz
 
hahhahahahhaha unanikumbusha mbeyaaaaaa enzi za kishule shule chakula chetu ndo hicho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom