Catholic priest held over defiling girl

ByaseL

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
2,225
247
By Chris Ocowun, Charles Mukiibi and David Labeja

THE Police in Gulu have arrested a Catholic priest, the Rev. Fr. Bosco Mawa, on allegations of defiling and making pregnant a 16-year-old pupil of Gulu Public primary school.

Father Mawa was arrested on Saturday when the father of the girl, Charles Arop Atube, reported the matter to the Police. The case was recorded as SD/72/15/01/2010.

Arop told the Police that when the girl became pregnant, she was made to carry out an abortion at a clinic in Gulu town.

He further told the Police that Mawa had been defiling his daughter in Gulu town where she lived with her aunt, Pamela Acan, for two years.

Arop narrated that he became suspicious when his daughter fell sick. “On January 8, 2010, her condition became critical and she revealed that she had aborted.”

He said the daughter narrated to him how she became pregnant, had an abortion and implicated the priest.

“Up to now, my daughter is still bleeding as a result of the abortion,” he lamented.

Arop, who lives in Lamogi sub-county in Amuru district, said he sent his daughter to his sister in Gulu town for education.

The Police yesterday arrested Mark Okello, said to be the owner of Pilwak Clinic in Cereleno in Gulu town, where the girl is said to have carried out the abortion on January 8.

The Police and a medical team then moved to Lacor to try to retrieve the foetus from a pit-latrine where the girl allegedly dumped it, wrapped in her underpants.

The Police officer who led the team, Andrew Gama, said they only recovered the underpants. 

Dr. Otto Omona, who was at the scene, said the foetus could have decomposed in the latrine since it had been there for 10 days. He added that there was need to conduct tests to establish whether the same pants were used for wrapping the foetus.

“We cannot guarantee that the underpants we got from the latrine were used for wrapping the baby. We have to take the cloth to Kampala to carry out DNA tests,” Omona said, adding that the blood stains on the pants would be tested against the girl’s blood.

The Gulu district officer in charge of criminal investigations, Moses Byabagye, explained that they were still carrying out investigations against Mawa. The priest was being investigated over defilement and abortion under a Police file CRB 88/2010, Byabagye explained.

Earlier, the regional Police spokesman, Johnson Kilama, said: “The Rev. Fr. Mawa is under Police custody for allegedly defiling a 16-year- old girl.”

Mawa reportedly belongs to the Comboni Missionaries and is based in Southern Sudan. Gulu Archbishop John Baptist Odama said he had no knowledge of the priest since his jurisdiction does not extend to Sudan.

The Police said the girl will be subjected to a medical examination to establish whether she had an abortion.

As is the case in defilement offences, the priest was subjected to an HIV/AIDS test, according to the Police.
 
Hawa Viongozi wetu wa dini sio Malaika.
Na shetani anawafuata sana ili awaangushe dhambini.
Aibu wanayoipata ni kubwa mno, na Kanisa linachafuliwa kwa dhambi za viongozi.
Kila Muumini ana wajibu wa kuwaombea watumishi wa Mungu ili wasimame kikamili kwenye imani wakiongozwa na roho Mtakatifu.
Kuwanyooshea vidole na kuwalaumu hakusaidii.
 
Hawamtegemei MUNGU ndo maana shetani anawaangusha
 
Hawa Viongozi wetu wa dini sio Malaika.
Na shetani anawafuata sana ili awaangushe dhambini.
Aibu wanayoipata ni kubwa mno, na Kanisa linachafuliwa kwa dhambi za viongozi.
Kila Muumini ana wajibu wa kuwaombea watumishi wa Mungu ili wasimame kikamili kwenye imani wakiongozwa na roho Mtakatifu.
Kuwanyooshea vidole na kuwalaumu hakusaidii.

Bujibuji, ni kweli unavyosema ila mimi nadhani labda sheria ya mapadre ilegezwe kidogo. Kama hawawezi kuishi bila wanawake basi waruhusiwe KUOA kama wachungaji wa makanisa mengine wanavyofanya. Kuna mapadre waliosimama imara ila kuna wengi ambao ni viwembe na wana watoto nje sana, so kuliko kufanya kwa siri basi iwekwe wazi kuwa waruhusiwe kuoa na hii itafanya hizi kashfa za hawa viongozi kumdhalilisha Mungu zipungue.
 
Is this truly father Mawa whom I know? The priest belongs to that congregation. He studied his philosophy studies at Langata Apostles of Jesus Seminary-nairobi, His secondary education was at Uganda and the Apostolic year he undertook at Uru Seminary Moshi in 1995. Any one with more information please let him/her brief us
 
Hawa Viongozi wetu wa dini sio Malaika.
Na shetani anawafuata sana ili awaangushe dhambini.
Aibu wanayoipata ni kubwa mno, na Kanisa linachafuliwa kwa dhambi za viongozi.
Kila Muumini ana wajibu wa kuwaombea watumishi wa Mungu ili wasimame kikamili kwenye imani wakiongozwa na roho Mtakatifu.
Kuwanyooshea vidole na kuwalaumu hakusaidii.

Kumbe kuna siku unamwaga mapoint hivi?
 
Unajua ni kweli kwamba kuna watumishi wa Mungu very zealous na wito wao maana ni kweli waliitwa. Pia kuna waliojiita wenyewe kwa kisingizio Mungu kawaita na hawa ni wengi kuliko wale walio watumishi wa Mungu kweli. Wameichafua huduma mpaka sasa mtu kujitambulisha kiwa ni mtumishi inabidi uwe na ka wehu fulani hivi maana jamii imeshalazimishwa kimtizamo kuwaona ni watu wabaya. Vyuo vya theolojia ndio kwa kiwango kikubwa vimefanikisha kuwe na watumishi wengi wenye imani ya kiakili ya kuzungumzia wasichokiamini na kutotenda wanachokiamini. Ni wajibu kwa waamini kuomba kwa bidii maana watu hawafanani na haitakaa itokee wafanane. Pia tusisahau kwamba tunaishi nyakati za upungufu mkubwa wa uadilifu kwa binadamu. Muumba na arehemu haya maasi.
 
The bad thing is not to impregnate but to abort!..as a man is not a crime to contribute to procreation ( though they take an oath of celibacy, but that doesnt make them unfertile or with no sexual desires...otherwise they have to be castrated). But killing is a crime, a serious one...hata shetani anachukia.
 
Hawa Viongozi wetu wa dini sio Malaika.
Na shetani anawafuata sana ili awaangushe dhambini.
Aibu wanayoipata ni kubwa mno, na Kanisa linachafuliwa kwa dhambi za viongozi.
Kila Muumini ana wajibu wa kuwaombea watumishi wa Mungu ili wasimame kikamili kwenye imani wakiongozwa na roho Mtakatifu.
Kuwanyooshea vidole na kuwalaumu hakusaidii.

Bujibuji.....Bujibuji.....Bujibuji....how many times did I call you????? yes three times. You want to tell the Public that for two good years the Ka-guy is kularing kabebi, faidiring kaazam ice cream and akitoka anasimama altareni kama mtu wa Mungu, na tumwombee huyu nyoka. Halafu kwenye kitubio ndiye anakutubisha...au kwa wengine wale ndiye anakuwekea mikono ya baraka, anafungisha ndoa, anabatiza mtoto wako.

Madhee ebu read kwa tena upate hiyo meaning ki further. Huyu kima sio sawa na mtu anefanya issue kwa badluck, huyu amekuwa akipiga polish kwa rungu yake for two years...babu.

Mi nishachiz kinoma naweza ua mtu saa hii, eti kuwalaumu angekuwa anachapa daughter wako hafu ukute blood ndo inadondoka chururu morning mpaka morning angeenda kugusa upindo ya vazi la nani? saa hii si ungechizika ka mwehu? si ungemwombea kwa kisu ya tumbo kwanza?
 
Back
Top Bottom