ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,967
Mkuu
Dhahabu almasi ,gasi, hatuna haja ya kuomba omba
Mwema kweli ni mpenzi wa Mungu Tanzania ni tajiri sana ina mkaaSerikali imetenga milioni 850 anasema hazitoshi ok sio kesi atuambie huko mugumu huwa wanaingiza mapato ya shilingi ngapi kwa mwaka kama kodi zinazoingia TRA? Anaposema ni ndogo atutajie Na wao huwa wanaingiza ngapi? Au anataka maeneo mengine inayokamuliwa sana Na TRA waendelee kukamuliwa ili wachangie watu wa mugumu ambao mchango wao TRA ni mdogo?
Dhahabu almasi ,gasi, hatuna haja ya kuomba omba