Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Free consultation! Hapa mlipofikia, si mkamalizie pm ? Because hapa mmejisahau kua ni public ?
Na tuna watoto ?
Nway nakumbushia tu mkuu !
Mkuu Judgement...mbona unakua mkali hivyo?
Huo nao ni ukali ? Si normal comments?
Btw people being differ to the respond !
Of course probably ungependa niingie hapa such as a one who come from drinkin' urojo?
Ym , kwa mtiririko wako inaonesha binti umempenda! Refar "maji hayatoshi ....."
kua wazi basi tuangalie aid kukuhusu.
Huo nao ni ukali ? Si normal comments?
Btw people being differ to the respond !
Of course probably ungependa niingie hapa such as a one who come from drinkin' urojo?
Ym , kwa mtiririko wako inaonesha binti umempenda! Refar "maji hayatoshi ....."
kua wazi basi tuangalie aid kukuhusu.
Huo nao ni ukali ? Si normal comments?
Btw people being differ to the respond !
Of course probably ungependa niingie hapa such as a one who come from drinkin' urojo?
Ym , kwa mtiririko wako inaonesha binti umempenda! Refar "maji hayatoshi ....."
kua wazi basi tuangalie aid kukuhusu.
Si umuache atomboke mwenyewe?Msaada wa nin na wewe tangu lin unaanza toa misaada ktk suala hili hasa linihusulo mke wako umekuja kuwaje lovie? Sikuelewi ujue oooho
Huyu youngmaster asifanye jahaz lichafuke hapa staki mim staki jaman naomba young ufute kauli zako
naona Judgement leo kaamka vibaya...mkuu sorry bwana...mie nilikuwa natania tu...ngoja nikalale nisije ishia kupewa za uso bure.
Habari za tangu siku ileee? My wi to be beibe nasty, pole sana naona watu wamekuandama si kidogo. Mentor, mi nataka ndoa staki kuchezewa. Lol!
Will you marry me? Wapendwa wote nawasalimu sana. Muwe na jumatatu njema.
Ni kwa nia njema tu hiyari yashinda utumwaEeee kwako tena maamaa yangu eeh, natoka afadhali naenda potelea mbali bora kujitia uchiz.
hee beibe nasty bora catherine amekubal!! mentor hongera mwaya angalia huyu usimpoteze kama ulivyo wapoteza wakina meritta!!!! meritta huskii wivu kwe?!!lolAsante sana my wii yan hujui tuu nilivofurahi kaka kaenda kuriport kazin si unajua alikua safari halaf akaumwa sasa kasema akija tuu anmajibu yako yooote. Kwakuchombeza tuu mi ndo wifi mi ndo staring maadui na adui kuu nishawamaliza my wii we utafurah subiri naenda oga mana ndo naamka hivoo
Catherine, This is the best news of the day! wow..I love youuuu so much! Yes, I will mary you..no jokes, no games...tupange tu harusi lini...baada ya mfungo ili hata kina Mwali na dadangu AshaDii wawepo nao.Habari za tangu siku ileee? My wi to be beibe nasty, pole sana naona watu wamekuandama si kidogo. Mentor, mi nataka ndoa staki kuchezewa. Lol!
Will you marry me? Wapendwa wote nawasalimu sana. Muwe na jumatatu njema.
hee beibe nasty bora catherine amekubal!! mentor hongera mwaya angalia huyu usimpoteze kama ulivyo wapoteza wakina meritta!!!! meritta huskii wivu kwe?!!lol
mweeeee meritta shostito poleee!!Mh..meritta alijipoteza bana...alijiona keki kumbe keki yenyewe half-cake...nimepata ndafu na kwake sing'oki tena...i love u Catherine.
Mh..meritta alijipoteza bana...alijiona keki kumbe keki yenyewe half-cake...nimepata ndafu na kwake sing'oki tena...i love u Catherine.
i love you more my gentleman! Ila baby uwe mwaminifu eeh! Kina Yummy wakikubania kijicho uje uniambie.
Come this way tukazie swaumu. Kuhusu harusi tutafunga hata ndoa ya mkeka kama ya kina naniliu.. Lol
hii . najua utashangaa saana na yawezekana ukawa unahis nataka kukushika ugoni ila laahasha shida yangu kuubwa ni juu ya kaka angu kipenz changu MENtOR amekua mtu ambaye ana raha na ametoka umwa na bado hajarecover sana nikamuuliza kwan vipi kaka akatamka kwa machungu jina lako sa nkasema catherine yupi? Akasema wa chitchat unautesa moyo wake sana anumia anhitaj nafas juu ya hili. Taafaadhali mi ni dada na nina familia yangu ila nimejizatiti kuubeba mzigo huu pliiiz kaka angu ankuhitaji naomba uumpe nafasi tafadhali ye ameenda oga soon atakuja kuthibitisha juu ya hili na usiogope sana kwan kuna kipind si uunajua tena ujana alikua na binti king'ast ndo jina lake lakin kuna tatizo lilitokea hadi likampelekea kaka kuokoka but kaona anhitaji mtoto mzuri ka wewe ,sasa mama naomba nitoe hoja na taarifa juu ya hili.
wako mtiifu Beibe nasty mke wa halali wa judgement