Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,653
- 272,485
Aliyekudanganya kafa .wazanzibari wanauhitaji muungano na wanaupenda, laiti wangekua hawautaki basi wangesha jitoa kitambo. They cant't survive without Tanganyika
Aliyekudanganya kafa .wazanzibari wanauhitaji muungano na wanaupenda, laiti wangekua hawautaki basi wangesha jitoa kitambo. They cant't survive without Tanganyika
Zanzibar ni pande la udongo lililojimega kutoka Tanganyika by Hamad Rashid akichangia ktk mjadala wa katiba mpya BMK!!! Siyo mimi mkuu!Kwa mawazo yako wewe
Kule wamestaarabika. Zanzibar wakiwafuata kutakuwa na makaburi ya halaiki!
Muda mchache uliopita bunge la Hispania limepiga kura na kuruhusu kutumia kifungu cha 155 cha katiba yao kinachomruhusu waziri mkuu wao kuweka utawala wake wote ndani ya Catalunia. Hii inamaana mpaka sasa Catalunia siyo huru na viongozi wake hawatakuwa na nguvu kisheria, kiuchumi na kwa vyombo vya usalama.
![]()
![]()
Source :RT news
Mleta post tambua kwamba Catalunia bado wanasafari ndefu siyo rahisi kama ulivyoeleza
Wanaenda kwenye premier leaugue walishasema.Barca yangu dah!
Itakuwa kama ile vita ya Afghanistan na Russia! Russia with all its mighty power, alikimbia.My land!or No land!! Zenj wakijaribu kutuchomoka tutatangaza rasmi kuwa eneo hilo litatumika kama sehemu ya kujaribia makombora yetu ya zamani ili tuone kama bado yanafanya kazi!
Zanzibar ni nchi ndani ya Muungano. Catalunya haijawa nchi huru hata siku moja. Naona ni sababu ya kutosha Kwa kusema Zanzibar na Catalunya ni tofauti.Kwa mawazo yako wewe
hata Znz inawezekana shida ni kuwa znz ccm itataka wabaki na znz cuf itataka kujitengaKule wamestaarabika. Zanzibar wakiwafuata kutakuwa na makaburi ya halaiki!