Catalan independence today; A lesson to Zanzibaris

pepe17

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2007
Posts
295
Reaction score
221
Nchi ya Catalan (Barcelona), ambayo ni sehemu ya nchi ya Spain ilisimama kidete na kuwa ngangari kupiga kura ya maoni ya kutaka kujitenga na Spain.

Japokuwa serikali ya Spain ilikataa kutambua kura hiyo ya maoni na ilitumia nguvu kwa kutumia askari polisi kuwazuia wananchi wasiende kupiga kura, hata hivyo nguvu ya wananchi ilikuwa kubwa na hatimaye kupiga kura na matokeo ni kuwa wengi walichagua kujitenga.

Muda huu naandika Bunge la catalan limepiga kura na kukubali kwa dhati kutangaza kuwa ni nchi huru.

Somo kwa wanasiasa wa TZ, hakuna nguvu ya dola imetumika, hakuna jeshi wala polisi kuingilia kati, ni nguvu ya demokrasia tu.

==========
http://www.bbc.co.uk/news/world-europe-41780116
Catalans declare independence from Spain
_98508202_mediaitem98508199.jpg

The Catalan regional parliament has voted to declare independence from Spain, just as the Spanish government appears set to impose direct rule.

The move was backed 70-10 in a ballot boycotted by opposition MPs.

Spanish Prime Minister Mariano Rajoy earlier told senators direct rule was needed to return "law, democracy and stability" to Catalonia.

The crisis began when Catalans backed independence in a disputed vote earlier this month.

The Catalan government said that of the 43% of potential voters who took part in the referendum, 90% were in favour of independence. But Spain's Constitutional Court had ruled the vote illegal.

In all, the motion declaring independence was approved with 70 in favour, 10 against and two abstentions in the 135-seat chamber.

Immediately afterwards, Mr Rajoy called for all Spaniards to remain calm, promising to "restore legality" to Catalonia.

Spain's Senate is still to vote on whether for the first time to enact Article 155 of the Spanish constitution, which empowers the government to take "all measures necessary to compel" a region in case of a crisis.

It would enable Madrid to fire Catalan leaders, and take control of the region's finances, police and public media.

Source: BBC
 
Kwa hiyo unataka zenji nayo ipige kura ya kujitoa kama catalan? Sawa! Ila sharti ni kuwa ni wabunge tuu! Tena wa ccm tu ndiyo watakaoruhusiwa kupiga hiyo kura kwa niaba ya wananchi wote! Ok?
 
Nchi ya Catalan (Barcelona), ambayo ni sehemu ya nchi ya Spain ilisimama kidete na kuwa ngangari kupiga kura ya maoni ya kutaka kujitenga na Spain japokuwa serikali ya Spain ilikataa kutambua kura hiyo ya maoni na ilitumia nguvu kwa kutumia askari polisi kuwazuia wananchi wasiende kupiga kura, hata hivyo nguvu ya wananchi ilikuwa kubwa na hatimaye kupiga kura na matokeo ni kuwa wengi walichagua kujitenga. Muda huu naandika Bunge la catalan limepiga kura na kukubali kwa dhati kutangaza kuwa ni nchi huru. Somo kwa wanasiasa wa TZ.

Catalans declare independence from Spain
Pandikizi
 
Kwa hiyo unataka zenji nayo ipige kura ya kujitoa kama catalan? Sawa! Ila sharti ni kuwa ni wabunge tuu! Tena wa ccm tu ndiyo watakaoruhusiwa kupiga hiyo kura kwa niaba ya wananchi wote! Ok?

Ni kufuata taratibu za kidemokrasia, siyo nguvu.
 
Ni rahisi wakiamua na kujizatiti, kutumia nguvu ya demokrasia.
My land!or No land!! Zenj wakijaribu kutuchomoka tutatangaza rasmi kuwa eneo hilo litatumika kama sehemu ya kujaribia makombora yetu ya zamani ili tuone kama bado yanafanya kazi!
 
wazanzibari wanauhitaji muungano na wanaupenda, laiti wangekua hawautaki basi wangesha jitoa kitambo. They cant't survive without Tanganyika
 
Nchi ya Catalan (Barcelona), ambayo ni sehemu ya nchi ya Spain ilisimama kidete na kuwa ngangari kupiga kura ya maoni ya kutaka kujitenga na Spain.

Japokuwa serikali ya Spain ilikataa kutambua kura hiyo ya maoni na ilitumia nguvu kwa kutumia askari polisi kuwazuia wananchi wasiende kupiga kura, hata hivyo nguvu ya wananchi ilikuwa kubwa na hatimaye kupiga kura na matokeo ni kuwa wengi walichagua kujitenga.

Muda huu naandika Bunge la catalan limepiga kura na kukubali kwa dhati kutangaza kuwa ni nchi huru.

Somo kwa wanasiasa wa TZ, hakuna nguvu ya dola imetumika, hakuna jeshi wala polisi kuingilia kati, ni nguvu ya demokrasia tu.

==========
Catalans declare independence from Spain
_98508202_mediaitem98508199.jpg

The Catalan regional parliament has voted to declare independence from Spain, just as the Spanish government appears set to impose direct rule.

The move was backed 70-10 in a ballot boycotted by opposition MPs.

Spanish Prime Minister Mariano Rajoy earlier told senators direct rule was needed to return "law, democracy and stability" to Catalonia.

The crisis began when Catalans backed independence in a disputed vote earlier this month.

The Catalan government said that of the 43% of potential voters who took part in the referendum, 90% were in favour of independence. But Spain's Constitutional Court had ruled the vote illegal.

In all, the motion declaring independence was approved with 70 in favour, 10 against and two abstentions in the 135-seat chamber.

Immediately afterwards, Mr Rajoy called for all Spaniards to remain calm, promising to "restore legality" to Catalonia.

Spain's Senate is still to vote on whether for the first time to enact Article 155 of the Spanish constitution, which empowers the government to take "all measures necessary to compel" a region in case of a crisis.

It would enable Madrid to fire Catalan leaders, and take control of the region's finances, police and public media.

Source: BBC
Catalan na Zanzibar ni vitu viwili tofauti kabisa!!
 
Kwa nini mjitoe wakati sisi wote ni ndugu na wazinzibar wanafaidika na muungano bila kunyanyaswa???
 
Muungano ni makubaliano bsina ya wanaoungana, pia unaweza kuvunjika iwapo makubaliano au haki kwa waunganaji haita kuwapo,
Kuhusu zanzibar na tanganyika kumekuwa na manung'uniko kwa pande zote na hii ni dalili mbaya kwa Muungano huu, kwani vizazi vya sasa vinaamini au aminishwa kuwa wanadhurumiwa , hii inaweza leta yaliyotokeakwa wenzetu.
Ni vyema kutambua haki uinua taifa na amani ni tunda la haki.
Muungano haulindwi kwa vitisho/majesji au vijembe kama spain walivyofanya bali marifhiano ya dhati
 
Kwa nini mjitoe wakati sisi wote ni ndugu na wazinzibar wanafaidika na muungano bila kunyanyaswa???

Hawataki kujitoa, kujitoa ni kitu cha mwisho kabisa kama vinginenyo itashindikana.Hivyo unavyofikiria wewe ni wengi wanafikiria hivyo (kujitoa) kama ambavyo serikali “inavyoelezea”.wanachotaka ZNZ ni kuurekebisha uwe na manufaa zaidi kwao pia na siyo kujitenga.
 
Back
Top Bottom