Casual Sex

Casual Sex

from tv na cables umeruka detail muhimu...maana umehami aghafla tu sofa bedromm na bathroom..ila umeruka videtail sfulani hivi ulivotoka kwa tv ulimfuata na ukaanza na nii
 
she was taking a short course fulani...nlikuwa mara moja moja namtrain ..sa nkawa mchokozi kidogo...akasema hajatomaswa siku nyingi ...mara storyzikaendelea za mazoea mara ikawa karibu geto....aisee kaja geto siku hiyo...ikawa ndio kuvunja amri ya sita nnatokea hapo hatujawai tena rudia na siju yupo wapi
 
Kitambo kidogo nilikuwa nimepanga apartment flan hivi Goba. Kuna jirani yangu mmoja pale tulikua tumezoeana kiasi sio sana since ni majirani tu. Ni dada mmoja mkali figure 8 ana kila uzuri wa muonekano lakini pamoja na uzuri na urembo wake sikua na mpango nae kwasababu nilikua na mtu wangu na yeye alikua anamfaham. Mara kadhaa akija alikua anamuona na hata yeye kigogo wake pia akija pale nilikua namuona so nikaona pale hamna ishu waache vigogo wale tu (Niliwahi kumtamani kidogo).

So one day narudi zangu job nimeingia ndani kabla sijaingia chumbani nikaona bora nikae sitting room nipunguze stress za job. Mara kidogo mlango unagongwa nikashtuka kiasi maana mida ile sio kawaida watu kunigongea. Nafungua nakutana na figure 8 ikaniambia samahani kaka naomba nisaidie kurekebisha simu yangu icloud imefanyaje sijui hata sikumuelewa vizuri. Inaonesha simu ilikua ni ya bwana ake. Nikajikuta namuambia karibu mpaka ndani. Nikaichukua ile simu japo hata sijui nianze wapi kutengeneza ile simu. Nahangaika hangaika na ile simu ananitizama tu, na mimi kila nikimuangalia naona hapana huu ni mtihani ninao karibia kufeli. Alivaa blouse na skinny. Bahati mbaya au nzuri ile simu ikazima chaji na charger yake sio kama hizi za kawaida na yeye alikua hana, nikaona sasa afadhali. Nikaichukua nikajifanya kama naenda kuichaji hivi kwenye cables za TV nageuka nyuma kumuangalia naona kang'ata kidole huku anaangalia juu af kama kajibinjua hivi kiuno. Nikaona sasa supu tayari kwa kuliwa subiri nikachukue chapati. Basi ikabidi tuvunje amri ya 6 pale I was so mad dah! Safari ilikua ndefu from sitting room to bed room then to bathroom. But nili regret sana since nilimuahidi mpenzi wangu sitomsaliti mpaka ataporudi japo sikua naishi nae, alikua field ilikua ndio wiki yake ya mwisho.

Haikuchukua hata siku 3 nadhani, yule figure 8 alikua na ugomvi na kigogo wake. Ilikua mshike mshike visu nje nje mara kuvunjiana masimu, kuvunjiana malap top. Nilikua na wasiwasi yule dada hasije kufanyiwa kitu kibaya then kibaya zaidi kisa iwe ni mm. Alikuja kuhama pale nasikubahatika kuwa na any contacts zake.

So casual sex hutokea sometimes, anyone who can share experience kama mm hapo. Me kwa upande wangu naona ni hatarious zaidi bora mue mmeplani japo inautam wake.
Bagamoyo nilienda kupumzika weekend. Niko baharini naogelea kunawadada nao pia wanaogelea. Nikamwambia mmoja njo nikufundishe kakubali na mkia upo. Wakati wa training mkia unanigusa na mnara wangu ukashika mawimbi. Nilijikuta tu Abdala kaingia kwenye sehemu yenye joto na utelezi. Baada ya hapo training ikaisha tukarudi ufukweni kama hakuna kilichotokea. MC U BABY MAMA
 
Kitambo kidogo nilikuwa nimepanga apartment flan hivi Goba. Kuna jirani yangu mmoja pale tulikua tumezoeana kiasi sio sana since ni majirani tu. Ni dada mmoja mkali figure 8 ana kila uzuri wa muonekano lakini pamoja na uzuri na urembo wake sikua na mpango nae kwasababu nilikua na mtu wangu na yeye alikua anamfaham. Mara kadhaa akija alikua anamuona na hata yeye kigogo wake pia akija pale nilikua namuona so nikaona pale hamna ishu waache vigogo wale tu (Niliwahi kumtamani kidogo).

So one day narudi zangu job nimeingia ndani kabla sijaingia chumbani nikaona bora nikae sitting room nipunguze stress za job. Mara kidogo mlango unagongwa nikashtuka kiasi maana mida ile sio kawaida watu kunigongea. Nafungua nakutana na figure 8 ikaniambia samahani kaka naomba nisaidie kurekebisha simu yangu icloud imefanyaje sijui hata sikumuelewa vizuri. Inaonesha simu ilikua ni ya bwana ake. Nikajikuta namuambia karibu mpaka ndani. Nikaichukua ile simu japo hata sijui nianze wapi kutengeneza ile simu. Nahangaika hangaika na ile simu ananitizama tu, na mimi kila nikimuangalia naona hapana huu ni mtihani ninao karibia kufeli. Alivaa blouse na skinny. Bahati mbaya au nzuri ile simu ikazima chaji na charger yake sio kama hizi za kawaida na yeye alikua hana, nikaona sasa afadhali. Nikaichukua nikajifanya kama naenda kuichaji hivi kwenye cables za TV nageuka nyuma kumuangalia naona kang'ata kidole huku anaangalia juu af kama kajibinjua hivi kiuno. Nikaona sasa supu tayari kwa kuliwa subiri nikachukue chapati. Basi ikabidi tuvunje amri ya 6 pale I was so mad dah! Safari ilikua ndefu from sitting room to bed room then to bathroom. But nili regret sana since nilimuahidi mpenzi wangu sitomsaliti mpaka ataporudi japo sikua naishi nae, alikua field ilikua ndio wiki yake ya mwisho.

Haikuchukua hata siku 3 nadhani, yule figure 8 alikua na ugomvi na kigogo wake. Ilikua mshike mshike visu nje nje mara kuvunjiana masimu, kuvunjiana malap top. Nilikua na wasiwasi yule dada hasije kufanyiwa kitu kibaya then kibaya zaidi kisa iwe ni mm. Alikuja kuhama pale nasikubahatika kuwa na any contacts zake.

So casual sex hutokea sometimes, anyone who can share experience kama mm hapo. Me kwa upande wangu naona ni hatarious zaidi bora mue mmeplani japo inautam wake.

creative story!
 
Back
Top Bottom