Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
Castol oil ndio ikoje na inapatikana wapi?
Hiyo noma ukinywa inasafisha kila kitu tumboni
Castol oil ndio ikoje na inapatikana wapi?
wajumbe kuna wakati nilikuwa na tatizo la kutopata hamu ya kula hata ukinipa silace mbili za mkate simalizi na sina hamu ya kula tena,...kuna mtu akanishauri ninywe castol oil
....aisee nilipokunywa hiyo siku nilihara mpaka nikadhani utumbo nao unatoka....dah hii oil siyo kabisa ila baada ya hapo nakula mpaka mkate nusu hautoshi tena.
loh, hayo mafuta sina hata ham nayo.
Mi nlikua nakunywa kwa sababu ya tatizo la kupata haja kubwa, yani hata ukifanikiwa kuyameza na ukawa hujatapika unastahiki pongezi, basi mimi yalinitapisha siku 1 nayaogopa mpk leo.
Zamani naskkia hata mama mwenye uchungu wa kujifungua anapewa then anaharisha wansema inasaidia mtt kutoka mara 1 tumbo linakua lishasafika.
Hata mbarika zzenyewe si mnajua km noma wakuu? Naskia zimekaa km njugu
Hiyo inaitwa Castor Oil na si "Castol".
Unanikumbusha utotoni tulikuwa tukipewa kila miezi mitatu mara moja. Siku ya Jumamosi usiku, Jumapili hakuna kutoka. Ukijidai kujamba umejiharia, hapo sasa!
nenda kwe maduka ya dawa lakini ni vizuri kama unatatizo umuone daktari kuliko kujitibu mwenyewe, avoid self medication ni hdtariKwa morogoro yanauzwa wapi?
PUMA petrol stationCastol oil ndio ikoje na inapatikana wapi?
Hiii post inakupa tofauti ya members wa JF miaka ya 2010-15 walivyokokuwa smart na hawa members wa sasa wa mwendokasi wa 2015/2020 yaaani ni mijitu bogass sana sana.PUMA petrol station
Mkuu hawa wamezagaa mitaani...ndiyo wanajaza fomu mkopo wakasome..Hiii post inakupa tofauti ya members wa JF miaka ya 2010-15 walivyokokuwa smart na hawa members wa sasa wa mwendokasi wa 2015/2020 yaaani ni mijitu bogass sana sana.