sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,045
Wakuanzisha circle ya wafanya biashara lazima hapatikane tu. Hata hao waliona na wanafamilia wafanyabiashara at some point hawakuwa nao.N.B: Walengwa ni wale wanaoweza kusomeshwa shuleni na sio kulazimika kufanya biashara sababu ya kukosa ada.
Kwenu ni kule ambako una ukaribu nako iwe ni familia, ndugu ama ukoo. ukitaka kupajua kwenu angalia watu mnaokutana nje ya misiba na sherehe kufanya vikao vya kimaendeleo.
Ukiona huko kwenu hakuna damu ya kufanya biashara, wanaozifanya wana hali mbaya kiuchumi, hawasogei, n.k. ni jibu tosha kabisa hata ukitaka kuja kufanya biashra hao ndio watakuwa mentors wako nao watakuunga kwenye hio chain mtafanana, Ni heri angalau ukomae na shule ujaribu bahati yako kwenye ajira husika, ikishindikana ingia kwenye biashara kama Plan B.
Mfano mdogo wakinga nimeishi nao huku Iringa na Mbeya, ni kabila la 3 kwa biashara hapa nchini nyuma ya wachaga na wapemba, Na ni Mbeya hapo hapo kuna wanyakyusa lakini unaona wazi kabisa wanyakyusa hawana damu ya biashara ndio maana wanaaswa sana wasome na ukiangalia elimu imewabeba sana wana mgao wao mzuri tu kwenye ofisi na vitengo vya serikali, lakini kwa wakinga ambao kiukweli hata shuleni wanasua sua hawana presha sana hata wakifeli au wakimaliza shule wana channel ya kushikwa mkono kuanza kufundishwa biashara, mitaji, connections, n.k.
Kwa Arusha nimewahi kuishi kuna jamii za wameru, waarusha na wachaga, Japo kuwa wameru na waarusha wana mwamko mdogo kwenye elimu lakini nimeweza kuwaona waliothubutu kwa sasa wana kazi zao na mishahara si haba na wengine wameongezea biashara ila kwa walioacha shule wanapata msaada kidogo kibiashara huko makwao kwasababu kuna mwamko mdogo wa biashara, wengi huishia kuwa boda boda. lakini kwa upande wa wachaga hata kwa wale wanaoacha shule wakirudi huko kwao wanapata channel ya kupata pa kuanzia kwenye biashara kwa kufunzwa, kupewa mtaji, n.k. uzuri hawa ni kila mwaka huwa wanakutana huko vijijini kwao na wanapeana motisha za maendeleo kiasi kwamba hata nyumba za nyasi zimekuwa historia.
Kwa nini uache?Kwahiyo sisi wengine tuachane na biashara 🤔🤔
kwa hali ya sasa ajira zilivyozakuminyana unadhani asemacho bwana mkubwa bado ni valid?ila chance of failure ni kubwa, so make it plan B. Mimi nimemuelewa
nilipata tu wasiwasi cause watu wa kabila langu hawanaga historia na biashara, ila mimi napenda na naona njia inaelekea kufunguka..Kwa nini uache?
Si ndo hapo... siku hizi elimu ni sehemu ya kuondoa ujinga na kupata connection. Ukisoma kutegemea ajira ukifika duniani utapata sonona.kwa hali ya sasa ajira zilivyozakuminyana unadhani asemacho bwana mkubwa bado ni valid?
Achana na kabila, maisha ni yako.nilipata tu wasiwasi cause watu wa kabila langu hawanaga historia na biashara, ila mimi napenda na naona njia inaelekea kufunguka..
Kukomaa Sio kupataHii haina uhusiano wowote..we komaa piga kazi, acha maneno ya kujifariji
Hakuna guarantee ya kupata.Kukomaa Sio kupata
Lalamika hivyo hivyo mkuu..ndio guarantee ya kupataKukomaa Sio kupata
KwakweliAchana na kabila, maisha ni yako.
Mm nikawa najua wapemba niwavuvi kumbe niwafanya biasharaKwa hyo wakinga ni wa tatu baada ya wapemba na wachaga?Nlitaka niandike ila baada ya kusoma hapa nimeishiwa stimu ya kutype
Biashara zao ndogo ndogo sana bn wanashindwa hata na wangoni cjui wamakondeMm nikawa najua wapemba niwavuvi kumbe niwafanya biashara
Wakinga biashara zao no uchuuzi sana sana, nje ya hapo huwapati kwenye stocks, aviation, exports, n.k. na hata hapo kariakoo don wake ni mchagaKwa hyo wakinga ni wa tatu baada ya wapemba na wachaga? 🤔 Nlitaka niandike ila baada ya kusoma hapa nimeishiwa stimu ya kutype
Wachaga kariakoo wanamiliki magorofa mengi sana na pia wanafanya biashara eq kina mushi, chuwa, lamwai..... Wakinga wapo wengi pia lkn hao wapemba wanafanya biashara ganiWakinga biashara zao no uchuuzi sana sana, nje ya hapo huwapati kwenye stocks, aviation, exports, n.k. na hata hapo kariakoo don wake ni mchaga