CAS kwa diploma leavers

CAS kwa diploma leavers

fazam

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
1,868
Reaction score
1,291
wakuu tcu walitoa chance ya watu waliokosa kuapply tena ....wakafunga system kwa ajili ya selection..then cas haipatikan....cjui na nyie mnalipata tatizo hilo
 
Muda wa kuapply ushapita kwa ss ni mchakato wa kuchagua wanafunzi
 
Muda wa kuapply ushapita kwa ss ni mchakato wa kuchagua wanafunzi
ok nimekupata mkuu...ilikuwepo status ya kuonyesha ni muda wa kuchagua...lkn ss hiv page inaload tu
 
Back
Top Bottom