Cas-central admission system registration problem

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,388
Reaction score
6,482
Naomba msaada please: Kijana wangu amepata physics B, chemistry B na biology B+. Anataka kujaza medicine Muhimbili, CUHAS and UDM. Udom inakataa kuwa points hazitoshi. System inasema ana point 4 wakati UDOM wanataka 5. Is this true!. How come ana points 4 wakati pass zake ni hizo hapo. Please help.
 
System ina tatizo tangia juzi vile vile matokeo yake hayo kwa hivyo vyuo hataweza kushindana atakosa maana BRN wamefaulu sana.
 
System ina tatizo tangia juzi vile vile matokeo yake hayo kwa hivyo vyuo hataweza kushindana atakosa maana BRN wamefaulu sana.

Muhimbili anaweza kosa ila nahakika cuhas na udom anapata
 
jaman kwaanayeweza kunijuza selection zinatoka lin kwa wale walio apply afya .
 
Jaman mie pia mdogo wangu ana B history,B geography na B economics bt nikijaza namba yake ya form six naambiwa not passed..msaada tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…