Cartoon za TBC 1

Cartoon za TBC 1

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,401
Reaction score
8,307
Nimejaribu kuzitafuta cartoon zinazorushwa TBC 1 siku za Jumamosi sijazipata kwenye maduka ya Kariakoo yanayouza movies ili ninunue. Cartoon hizo kwa maoni yangu nafikiri zinafaa sana kwa wanafunzi wa shule za msingi kwani licha ya kuburudisha zinafundisha Hisabati kwa njia rahisi na ya kuburudisha. Naomba kwa yeyote anayefahamu zinakopatikana anijulishe.
 
Unamaanisha zile zinazodhaminiwa na CRDB? hata mi zilinigusa sana.. So funny! Ndo uje Hisabati janga la taifa!! Pamoja na kuwa na nyimbo nyingi sana za kuhamasisha lakin bado kizunguzungu!!!
 
Wanazijua wenzako ila hawako tayari kutaja kwani walijiapiza kule kwenye jukwaa la siasa kuhusu kituo hicho. Ila kimya kimya wananunua na kuwapa watoto zao. Nakushauri nenda kwenye duka lao mtaa wa Zanaki au TBC ofisini kwao. Kweli zinaelimisha.
 
Back
Top Bottom