Start small, jifunze software angalau moja kwanza kuelewa "lugha" kwenye huu uwanja wa animation na 3D kwa ujumla, maneno kama tweening, pipeline, rigging, vector graphics nk. Chukua software blender3D, hata kama ni ya bure, features sambamba na hizo za maelfu ya $.
Kwa sababu nimesha ichagua blender, nender youtube utafute videos zake, utajifunza mengi... baada ya hapo utaweza kujua kikosi utakachohitaji, lakini zifuatazo ni muhimu
-modeller/Artist
-Animator
-Compositor
Wengine: Voice artists...
Ki-biashara, nadhani jipange kutengeneza short animations, zisizidi 60 seconds, hapo utaweza kujipanga kutengeneza at least 1 kila siku, kwenye mauzo, unaweza kuwasiliana na magazeti yaliyo na presence online (ippmedia et all) na kuwa na sehemu ya kuionyesha hiyo video/animation/catoon.
Mkisha jipanga ipasavyo kwenye hiyo kazi, mnaweza kutengeneza "
educative" movies, labda kwa niaba ya wizara ya afya, wizara ya elimu, usalama barabarani etc etc... Hapo inabidi kazi iwe ya standard nzuri ndio kuongeza biashara kwenye mambo kama advertisements/
commercials.
Boneco de Barro | reel 2011 on Vimeo
don't attempt this before doing all mentioned above, this is master level blender, big money no doubt
Russian Soda Commercial by ARt DDs | BlenderNation
Haya yote yakijipa, usisahau kunikumbuka hata bia moja inatosha!...
All the best.