Carlos: Gaidi mtukutu zaidi kuwahi kutokea katika uso wa dunia

Nu miongoni mwa jukwaa bora ambalo unaweza pata historia ya vitu mbali mbali
 
Nikiwa mdogo nilikua nafatilia sana story za huyu jamaa na kwasababu nilikua msomaji wa vitabu vya Willy Gamba then nikawa nalinganisha na story za huyu jamaa kweli nilikua nasisimka sana.
Sometimes wababe kama USA wanatakiwa wawe nao wanaishi kwa HOFU kidogo kama sisi bwana khaa!
 
Back
Top Bottom