Carlos: Gaidi mtukutu zaidi kuwahi kutokea katika uso wa dunia

Nitakuwa sina kazi za kufanya, mna copy & paste unaulizwa unashindwa kujibu.
Mbona unakuwa kilaza..... usipende kuquote uzi ambao ni mrefu ni usumbufu kwa wasomaji wengine na kwako pia. Bado haujaelewa??? Mtu analazimika kuscroll all the way alafu mwisho kuna thank you...si ungese huu.
 
Sasa umefanya nini ndugu yangu?

Nisamehe Ontario na wengine nilowaudhi halikuwa lengo wala makusudi yangu
Ni hizi simu zetu unakuja fahamu the story iko quoted without ua knowledge

Thanks kwa muda wako kutuletea this brilliant story

Much respect Ontario
Nisamehe chief
 
Nisamehe Ontario na wengine nilowaudhi halikuwa lengo wala makusudi yangu
Ni hizi simu zetu unakuja fahamu the story iko quoted without ua knowledge

Thanks kwa muda wako kutuletea this brilliant story

Much respect Ontario
Nisamehe chief
Pamoja sana. Uko mwelewa sana mkuu.
 
Nisamehe Ontario na wengine nilowaudhi halikuwa lengo wala makusudi yangu
Ni hizi simu zetu unakuja fahamu the story iko quoted without ua knowledge

Thanks kwa muda wako kutuletea this brilliant story

Much respect Ontario
Nisamehe chief

Busara siku zote huepusha shari.

Mkuu hatuna tatizo na wewe na msamaha wako umekubaliwa

Pamoja
 
kweli siku hizi kuna wanaume na warembo sisi hata ki SSM tu kimetushinda huku mwenzetu alipambana na serikali dhuluma za nchi kubwa kubwa
 
Heshima iende popote alipo.

Mfano wa hawa wakulu ni wa kuhesabu sana tu.

1. Che Guevara
2. Field Castro
3. Calros The Jackel
4. Saddam Hussein
5. Gaddafi
6. Osama
7.
8.
9.
Sithani hata kama wanafika kumi dunia nzima
osama ni fake na uzushi na hajawahi kufanya chochote cha maana.
 
Dunia sasa imebadilika sana, siasa na mavugu vugu ya mabadiliko ya ujamaa yameisha kabisa. Hapa naona wa Magharibi Ulaya na Marekani walifanikiwa kabisa kuua mbegu za Wanamapinduzi wa kijamaa.

Teknolojia pia na sayansi imekua sana, kufanya show ya mtu mmoja kama hz na ukiwa unasafiri nchi mpk nchi kwasasa ni ngumu.

Wanafiki, na wasio na misimamo pia saizi ni wengi, hata waarabu sasa nao wanapiga Magoti mbele ya wamagharibi na wapo Tayari hata kuvaa rozali shingoni (Ulimwengu umebadilishwa).

All in all ahsante sana mkuu ONTARIO

STORY ZA KUMLAMBA MALKIA NAONA ZILIKUWA TZ NZIMA HATA MIMI ENZI ZETU ZILE NILISIKIA SANA

Maoni kwa Moderator ipunguzwe ukubwa wa maandishi mtu anayoweza Quote, au chukueni mfumo wa Whasapp, uki quote inaonesha sehemu ndogo tu ya quotation na ukitaka kusoma chote kilichokuwa quoted unagusa io quote inakupeleka kwenye Orginal quoted content.
mbinu zinatengenezwa kutokana na mazingira ya wakati na sio ajabu kwa kipindi hicho hiyo technolohia ilikuwa juu kuzidi kipindi kilichopita.kumbuka techniologia hutengenezwa na binadamu hazitoki mbinguni hivyo hivyo mbinu na maarifa za kuzikwepa zipo mikononi mwa mwanadamu
 
Niliickia jina hili nikiwa mdogo sana lakn ckuwahi kupata stor kamili ilifikia wakati huo watoto tunadanganya eti jamaa alkuwa anauwezo wakupotea...hatimae leo nimepata picha kamili
Mkicheza mhezo wa vita weww ukiwa jambazi unajiita carlos
 
Back
Top Bottom