Caring na kujipendekeza

Caring na kujipendekeza

young super

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
257
Reaction score
315
Caring na kujipedekeza ni mstari mdogo sana unaotofautisha mtu anaejipendekeza hufanya vile kukupa attention na mtu huyo hutaka kitu toka kwako mtu anaekujali.

Ni yule anaejua thamani yako na unaumuhimu gani kwake unaweza mjali akaona unajipendekeza, unaweza jipendekeza akaona kama unamletea usiku tuu.
 
PrincessAnne haya mabo kwakweli hata sijuagi yana rangi gani.. ukiweka nyekundu mara orange inatokea ukiweka nini sijui ila sijui ...
 
Back
Top Bottom