abuumatange8
New Member
- Dec 21, 2016
- 3
- 0
[emoji1] [emoji1] picha za gari mmetumiana PM au?Mlango huo mbona kama vile haufungi?
Navuta picha hapa mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji1] [emoji1] picha za gari mmetumiana PM au?
Iligongwa ubavuni.Mlango huo mbona kama vile haufungi?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Iligongwa ubavuni.
Ila ukiubamiza kwa nguvu unafunga lakini...
Usipasue kichwa hakuna Mnunuzi kati ya Hao wanaokudhihaki.abuumatange8
Tangazo tangazo!!
Carina inauzwa
Price:7mln
Bima: imelipiwa comprehensive feb 2017
Road licence: imelipiwa feb 2o17.
Ni number C. Na engine iko safi kabisa.
Kwa anayehitaji apige number 0712615841
Duh imetulia sana, hasa hiyo rangi yake!
Alafu hizo ream ni sport.
Hata tairi pia naziona mpya.
Ok lkn umeanzia chini sana ungeanzia mln 9 maana chombo imetulia hiyo.
Haya wana jf chuma hiyo