Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,046
- 110,605
Mlango huo mbona kama vile haufungi?
Mlango huo mbona kama vile haufungi?
Enzi za kuuziwa mbuzi kwenye gunia zilisha pitwa na wakati.Acheni 'Ukolomije'.
Jamaa anauza Gari Sio Picha.
Usipasue kichwa hakuna Mnunuzi kati ya Hao wanaokudhihaki.
Kukariris.Enzi za kuuziwa mbuzi kwenye gunia zilisha pitwa na wakati.
Wacha maneno, weka picha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Acheni 'Ukolomije'.
Jamaa anauza Gari Sio Picha.
Usipasue kichwa hakuna Mnunuzi kati ya Hao wanaokudhihaki.
Minimeipenda rangi ya gari na sports tyres zake....[emoji13] [emoji13]Mlango huo mbona kama vile haufungi?