Cardinal polycarp Pengo denies to leave the office.

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
9,474
2,000
Wewe padiri fisadi najua unabembeleza ulaji tu kwa kupitia mzee asiyejielewa
Ungeandika kwa kiswahili kuliko kujidai kutumia lugha inayokugonga. Nimejaribu kukufundisha ili siku nyingine usifanye makosa hayo tena kwa kuwa yanakuvunjia heshima. Laiti ungejua kuwa mimi ni Kichuguu, siyo padri.
 

mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
3,982
2,000
Ungeandika kwa kiswahili kuliko kujidai kutumia lugha inayokugonga. Nimejaribu kukufundisha ili siku nyingine usifanye makosa hayo tena kwa kuwa yanakuvunjia heshima. Laiti ungejua kuwa mimi ni Kichuguu, siyo padri.
Wewe ni yale makasisi yaliyoingia huko bahati mbaya yanatuchafulia kanisa hujifichi
 

Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
3,444
2,000
In a period of two years cardinal Pengo declared himself incapable to run office and a successor was appointed by the holy see.
Jude thaddeus Ruwaich is sitting in the office in dar for nearly a year now and the cardinal has refused to retire as expected. I'm asking the holy see and those informed what are the procedures of ousting him out?
Ruwa'ichi's appointment was not meant "to oust" Cardinal Pengo, but to assume office after the cardinal retires, dies or is incapacitated to serve. Ruwa'ichi is Coadjutor Archbishop of Dar es Salaam (who has a right to succession).
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Cicero Cardinal Pengo: It is better to die of hunger than accept homosexuality News & Current Events 22
Top Bottom