CARD ZINAZOKUBALIWW NA PAYPAL

CARD ZINAZOKUBALIWW NA PAYPAL

Watakuwa wamerekebisha mkuu,manake mimi ile system ya aliexpress iliniambia niweke namba za kadi yangu ya benki tu ambayo ni mastercard au visa,nikaiweka,baada ya system kuiverify nikabofya 'buy now' hela ikakatwa kwenye akaunti yangu na mchezo ndio ukaishia hapo
Inategemea na supllier wapo wanaokunali paypall na wapo wanaotaka ulipe kwa kadi moja kwa moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CRDB both master and visa cards,Mpesa master card na bank ABC hizi zote azisumbui PayPal kikubwa ziwe na balance ya kutosha.mimi zote hizi natumia na azinisumbui
Mkuu una link vipi MPESA mastercard na paypal? coz mimi inagoma inaandika kuwa inaruhusu kulink na Mpesa ya kenya
 
CRDB both master and visa cards,Mpesa master card na bank ABC hizi zote azisumbui PayPal kikubwa ziwe na balance ya kutosha.mimi zote hizi natumia na azinisumbui
Unaweza kupokea pesa kwa Mpesa master card?
 
Hakikisha ina balance. Mimi M-pesa Master Card iliwahi kunisumbua hivyo hivyo kumbe tatizo ilikuwa ni balance tu. Pia hakikisha mastercard yako haija expire, na uweke namba kwa makini
Mkuu master card ya vodacom inafaa kulink na pay pal? Msaada pls
 
Hakikisha mastercard ina balance, hamisha balance hata 10,000 kutoka kwenye M-Pesa kwenda kwenye M-Pesa mastercard then ndio ulink . mimi kwangu inapiga kazi nimewahi kufanya malipo zaid ya mara 3 na ipo poaw
 
OK mkuu
 
Lazima mkuu Paypal ina tumika sehemu nyingi sana mkuu and is the safiest means of online transactions
Sio lazima.
AliExpress has already started up PayPal project. In some AliExpress Store, you can use PayPal to pay your order. But now only partial sellers can support PayPal payment method.
 
Hii M-PESA MasterCard mbn kwangu inakataa Ku link na paypal au inatakiwa iwe na kiasi fulani ndo ikubali?
CRDB both master and visa cards,Mpesa master card na bank ABC hizi zote azisumbui PayPal kikubwa ziwe na balance ya kutosha.mimi zote hizi natumia na azinisumbui
 
Hakikisha mastercard ina balance, hamisha balance hata 10,000 kutoka kwenye M-Pesa kwenda kwenye M-Pesa mastercard then ndio ulink . mimi kwangu inapiga kazi nimewahi kufanya malipo zaid ya mara 3 na ipo poaw
Mkuu, naomba steps za ku link baada ya kuweka hela kwenye mastercard.
 
Back
Top Bottom