Lau_boy7
Member
- Sep 28, 2015
- 21
- 4
Habarini za kuamka members wa jf nina card ya bank ya NMB MASTERCARD na iko verified kufanya online purchase na nishaijarb mara kadhaa cha ajabu PayPal hawaitaki kila nikijarbu ku link kwenyepaypal inagoma (this card cannot be virifield right now try another c) inanikera sana hii error msaada wenu wakuu .ahsante