mwenye data za e.tv FTA mara ya mwisho ilikuwa inapatikana Astra at 31.5e e.tv na e.tvA na za dstv chache FTA kwenye MPG4 kwasa zimehamiswa mwanye tata msada tafadhali
Nipo tanzania zilikuwa hewani kwenye mpg4 hawakuweka azalani kwenye mtandao kunajama yupo mytv ndoaliniletea mpg4 nakunichana wamezitowa mwezi wa 4 zimebaki MGM nazo zimefungwa e.tv na e.tvaf na za dstv wamezitowa kabisaweye unazungumzia astra upo nchi gani? ulaya nini? mbona bongo hata muonzi mmoja wa astra haumuriki. au wamebadilisha? http://www.ses-astra.com/medialib/c...rint_Graphics_31.5_East/0_astra_2C_east_M.jpg
paje angalia hii Nilesat 7.0w tanzania bimu haionekani kabisa kuna mikowa tanzania inakubali kwa kutumia dishi futi 8 mufano dr arusha mor mikowa mingi inakubali kunawajanja wanatoka nakadi dubai analipia mwaka mzima wanaonyesha na rigi atausipo lipiya kuna fta nyingi sana naninzuli sana
zimehamishiwa hapohapo kwenye ku 68.5e zote za dstv na sabc 1-3 fta chomowa hiyo c bd weka kiremp ya kukweli wamezifuta nyingi. wamabakisha kidogo za C-band. fashiontv, history channel na ma-supersport. hizi za ku band zipo kwenye satellite gani. na angle yake please.
Futi sita inagoma ata tuti8 inachaguwa sitanzania yote kunamikowa haikubali nakuomba uchungulie kwenye sd yangu kuna vitu unisaideok. nimekusoma. unajua tanzania wameweka picha ya kuonesha kuwa haipatikani kwa sababu wameikusudia kwa ku band yaani hivi viji-dishi vidogo, ila kwa futi nane hapo nimekukubali.swali: ukitumia dishi ya futi 6 vipi?
Astra 31.5e ilikuwa inakubali dishi ndogo kamaumefunga dstv w4 unaiacha vilevile unaongeza rnb nyingine ukisimama mbele yadishi lako unaiweka kushoto kwako zinashikana hi kwa uraya ndosijuwiweye unazungumzia astra upo nchi gani? ulaya nini? mbona bongo hata muonzi mmoja wa astra haumuriki. au wamebadilisha? http://www.ses-astra.com/medialib/c...rint_Graphics_31.5_East/0_astra_2C_east_M.jpg
Nivizuli wengi hawajuwi nijinsi gani unaweza pata dataa nakuomba kachungulie kwenye thread yangu kunamsada niliuomba unisaidienataka nianzishe thread mpya kuhusu free to air zinazopatikana hapa tz na jinsi ya kuzipata. au tayari imeshaanzishwa?
huku bongo HD hazipatikani jee? PCI TV Capture Card (Records video in MPGE1,MPGE2, & AV1 file) zinaweza kuchakachuwa? nategemea msada wako tafadhalikwa mtu mwenye computer ya DESKTOP kuna aina tofauti za PCI card jina lake haswa linaitwa dvb card, (inawekwa sehemu inayokaa sound card), mara ya mwisho mwaka jana nilinunuwa dubai sawa na elfu 26 za kitanzania zinafanya vyema kabisa. kwa maduka ya bongo sijaulizia kama zinapatikana. jaribuni kwenye maduka ya accesory za computers. na kwa wenye laptop pia zipo USB version ila hizi za usb ni ghali mno. zinaweza kufika mara tano ya PCI.pia kuna manufacturer tofauti kama vile twinhan, technisat (dola 100), skywave (dola 15)angalia mfano wake hapa kwenye link Satellite DVB Sales : TwinhanDTV ATSC D+A HDTV TV Tuner PCI Card, Satellite DVB Card, twinhan_atsc_hdtv_pci_card
Inategemeaana na mahitaji yako atahiyo dishi ndogo unaweza pata chanel za fta za nnje mwelekeo tofautitofauti zakibongo huwezi ni lazimz kuanzia dishi futi6Wakuu nimesoma kila kitu humu jamvini kuhusu hizi tv channel's!mimi huwa natumia DSTV ila nalipia USD 45 per month ili niweze kuona atleast league ya Uingereza nk.ila zinaniuma kweli!nataka niweke dish la free!nichukue la inchi ngapi?je ni decorder gani nzur inapatikana hapa Dar?au kama kuna kitu naweza kuongezea kwenye ungo ule wa DSTV nikapata channels za free pia naomba nijulishwe manake kuongeza maungo juu ya bati ni kumfanya baba mwenye nyumba aniongezee kodi bure akijua nafaidi kumbe ni njia moja wapo ya kupunguza stress tu!Nawasilisha wakubwa!
ok. nimekusoma. unajua tanzania wameweka picha ya kuonesha kuwa haipatikani kwa sababu wameikusudia kwa ku band yaani hivi viji-dishi vidogo, ila kwa futi nane hapo nimekukubali.
swali: ukitumia dishi ya futi 6 vipi?
Unacho kisema ni kweli inafikamda itaacha kufunguahapa nimefunga madish mawili madogo ku. moja linaelekea upande wa dstv na lingine linaelekea upande wa gtv. nimeweka strong decorder na kabox kadogo keusi. napata full multi choice.
Vipi paje kuhusu hili zoezi, ulifanikiwa kulikamilisha? Tafadhali tujuvye ili na sie tuchangamkie.habari wakuu.
katika forum hii hakuna thread yoyote inayohusu cardsharing. kama kuna mtu yoyote anayefaham cardsharing basi atupe info. mambo ya c lines na kadhalika.
target yetu kwa sisi africa iwe zaidi katika MultiChoice Africa on Eutelsat W7 at 36.0°E
au hata mytv africa kwani ndio tv pekee zenye akili hapa east africa