Car wash

Yukwapi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
480
Reaction score
605
Habari Wana JF.
Mimi nikijana wa miaka 23 nilipambana kutafta mtaji na Sasa nimepata million nne
My plan nikufungua car wash ndogo.
Mkoa niliopo nimefanya uchunguzi wa pressure washer machine nimekutana na wanaotumia za LUTIAN na EASY POWER nimekuja mbele yenu wakubwa naombeni mnishauri kati ya hizi mashine ipi nikampuni Bora πŸ™πŸ™
 
Cha kwanza MUNGU akubariki sana kijana, million 4 si haba

Lakini pia biashara ya car wash mimi sikushauli kabisa

Biashara ninayo kushauli ni hii nunua shamba la million 1 Jenga mabanda ya laki tano anzisha ufugaji wa kuku Asante ubalikiwe sana
 
Hongera sana Mkuu umepandana hasa kwa uchumi wetu huu si haba.
Mimi sina uzoefu na hizo mashine
 
Safi sana janja.
Endelea kufanya hio kazi iliyokupa 4M.
Naendelea ila nataka nifungue goli sababu kazi nayo Fanya ni day worker nakufukuzwa kazi nimdawowote
Check na easypower ziko durable compared no lutian. Make sure inaanzia na 2000PSI. Kila la heri mpambanaji.
Kitu ninachohitaji katika hizi mashine niambayo haiharibiki hovyo
 
Pongez kwa uthubut

Umesem unatak uifanye kwa udogo unaitaka iwe kwako kama biashara uwe unapata chochte kit au uanze kidogo ukitegemea ije iwe investment kubwa miaka 5 mbele hv.

Uta charge shingap kuosha, usije ukawa unaweka pesa nying wakati Return On investment inachukua muda mrefu kurudi na wewe unategemea pesa ya chap kuendesha maisha yko


Mchawi location ndo kila kitu.
kama fedha yote ulionayo ni 4M angalia running cost ya kuendesha biashara pesa yte isiishie kutengenez ofisi. Kuna kulipa vjana mishahar, posho, kodi, TRA

Biashar ua inaitaj ww uwepo usimamie ukimuachia mtu asimamie utegemee kupigwa au ufunge cctv kupunguz upigaj


Cjui uko mkoa gan. Kun sehem dasilamu naskia wat w mazingir wanasehem utengenez miferej usimwag maj y oil mtaron, cjui oil filter

Cjajua ulifikiaje maamuz ukaamua biashar y carwash n umejipangje uifanye kwa udogo ila naona icho kipunga n kidogo. Kama n kuvuta bomba na pressure pump vijana waoshe gari na pikpik upate chchte kitu. basi fedha inatosha
 
KWa mtaji wangu unatosha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…