Car Service Episode 2/10: Coolant na brake fluid zinatakiwa kubadilishwa kila baada ya miaka miwili au km 40,000!

Car Service Episode 2/10: Coolant na brake fluid zinatakiwa kubadilishwa kila baada ya miaka miwili au km 40,000!

Wenyewe OEM wanataka Subaru Supercoolant, rangi ya blue. Tatizo kuipata maana ndio inayowekwa kwenye gari na Subaru wanasa inakaa hadi miaka 11 au km 200,000.
View attachment 3485066
Ukikosa wanasema tumia nyingine za blue zenye formula sawa (phosphate organic acid technology (P-OAT)) na hazina silicate, ila usitumie ya KIJANI coz ina silicane na inaharibu gaskets.

Pambana na page 400 za usermanual hizi hapa 😂😂
Shukran Sana mkuu
 
Mfano oil ina isha haraka ni kama ina vuja lakini ukiagalia hakuna sehemu inayo vujisha shida nini?
Maneno ya Chemisty Form 3....
Viscosity........
Angalia manual gari yako inatakiwa itumie grade ipi.....
Ukiweka tu yoyote, si muda mrefu kiringi timtim, Taa ya oil inawaka....

1759858442133.png
 
Mfano oil ina isha haraka ni kama ina vuja lakini ukiagalia hakuna sehemu inayo vujisha shida nini?
Hapo piston/piston ring zimeisha kwa hiyo oil inachanganyika na mafuta na kutoka kwa njia ya exost, yaani moshi mweusi.

Jaribu kuingiza kidole kwenye exost iwapo kitatoka cheusi basi ujue ndio huko oil inatokea.
 
Nimewaelewa ngoja itoke gereji nione kama bado ina endelea
 
Back
Top Bottom