Kudasai
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 211
- 249
Wasalaam!
Nimekuwa nikipokea email nyingi kuhusu hii kitu "car from Japan" nikawa napata mashaka kuitafuta hii website.
Leo nimesema ngoja niangalie huenda nikajipatia "free car"!
Looh! "The site you are about to visit might be risk". Ni maneno niliyokutana nayo. Sasa sijui Kama hii site ina usalama huenda labda ni "scam/hacker" wanataka kuniibia kapesa kangu ka madafu.
Wakuu, Nafikiri huu mchezo upo ni vyema kuchukua Tahadhari.
Ni hayo tu nisiwachoshe.