BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
Nyota iking'aa, inan'gaa tu!
Kila mtu ana style yake ya maishaKiba angekuwa na akili angekuwa mbali sana sema huwa hawezi kutumia fursa effectively
Style aliyochagua huyu jamaa wanaoaibika na kuumia ni mashabiki wakeKila mtu ana style yake ya maisha
Nadhani tatizo liko kwa management team yake, ashauriwe apate management nzuli.Kiba angekuwa na akili angekuwa mbali sana sema huwa hawezi kutumia fursa effectively