"Hongera mwanangu, japo degree yenyewe ndo ya hivyo hivyo lakini cha msingi ni kwamba umeipata, hao wanaosema sijui ooh ya kupewa au sijui kahonga watajiju, raha jipe mwenyewe mwanangu, hii ndo raha ya kujua kupiga shortcut, unakuwa mwana si hasa halafu degree zinakufata kitandani"