...Capt. John Komba aliudanganya Umma!

Hii mbona hakanushi,lazima kilo kdhaa zipungue kudadadekii kashikwa pabaya,komba komba kombaaaa...
 
Inawezekana pia sio yeye. Kwani si zipo nyigi madukani na mitumbani na zinafanana.
 
kurudiarudia nguo kumemponza tehe tehe tehe,angetafuta jezi la kufanyia michepuko

Tabu ni kwamba atavalia wapi, maana akivalia home mke atagundua kinachokwenda kutendeka, na hawezi kuvalia kwenye gari, atageukaje nafasi mle ni ndogo mwili ndo huo? Labda anunue Noah maalum kwa shughuli hizo, ila kwakweli kazi anayo, maana keshaonja nyama ya mtu sijui ataachaje
 
Sema picha ya kwanza tarehe inaonesha 06 01 2004 unataka kusema mh huwa apiti piti Mr Price kufanya shopping?
 
kweli kaz ipo,tena nzito
 
Sema picha ya kwanza tarehe inaonesha 06 01 2004 unataka kusema mh huwa apiti piti Mr Price kufanya shopping?

Huu mwili kupata aina ya nguo uipendayo ni vigumu sana.
Kwa hiyo hata hizo chache ulizonazo unajitahidi kuzitunza sana maana zikipotea au kuharibika ni vigumu kupata zingine!!
 
Huu mwili kupata aina ya nguo uipendayo ni vigumu sana.
Kwa hiyo hata hizo chache ulizonazo unajitahidi kuzitunza sana maana zikipotea au kuharibika ni vigumu kupata zingine!!
hahaha kwa hiyo................:music::music:
 
Mzee wa miseleleko.mbona kama picha hizo ni za kidosho huyo huyo?
 
Muacheni mzee ajilie vyake ....hayo ni maisha binafsi
 
- Hivi ni mjinga gani Duniani anayeweza kutengeneza picha zenye nguo ambazo huna anyetaka kukuchafua na zile za mbunge wa UKAWA umeziona kaka?

Le Mutuz System
 
- Yaaani great thinkers tumefikia kujadili mambo ya mapenzi ya watu, duh!!

Le Mutuz System
 
- Hivi ni mjinga gani Duniani anayeweza kutengeneza picha zenye nguo ambazo huna anyetaka kukuchafua na zile za mbunge wa UKAWA umeziona kaka?

Le Mutuz System
Duh, so unamaanisha hata nguo pia zilitengenezwa?
Sasa wewe unapingana na Mh. Komba, na pengine ume-comment tu kwa kutazama picha ila hujanisoma kwenye maandishi.

Mh. alisema sura ndio ya kwake, lakini kiwiliwili (akimaanisha mwili na nguo) sio wa kwake?
Au unataka kusema alivyosema kiwiliwili alimaanisha pia hata nguo zilikua zake ila mwili ulioko ndani ya nguo ndio sio wa kwake?
 
ha ha ha ha ha ha hii ishu bana inachekesha sana aisee
 
- Yaaani great thinkers tumefikia kujadili mambo ya mapenzi ya watu, duh!!

Le Mutuz System

Kwahiyo wewe unavyo upload mapicha yako kwenye mitandao na mabebz wa ukwee,unataka iweje mkuu.Badilika wewe ukubwa siyo wa tumbo,ni fikra pevu.
 
Sema picha ya kwanza tarehe inaonesha 06 01 2004 unataka kusema mh huwa apiti piti Mr Price kufanya shopping?

Tatizo wabongo sometime hatujui kufanya setting ya time kwa camera zetu inawezekana ni picha ya mwezi uliopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…