Niko vizuri kabisa, hakuna matataAaahahahahhaa
Usinisababishie madakesi, basi tughairishe mi sitaki uresti in pisi bali uresti in mahaba...π
Uko poa lakini?
Una utundu fulani hivi......Oohh safiii ππ½
Nilijua nahusika na kuishiwa kwako nguvu ghafla.....
Naogopa ushahidi ...!
Naogopa kuuza nyumba ya urithi....Aahahahaaa ππππ
Umejuajeee...!!!?
πππππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½
Enjoy the dance while it lasts...
Katika ubora wakoAabeeeh....!
Sharing aiseeAahahahahahaa shwariiii...!!?