Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,893
Wazazi au wenye bar ndio wa kulaumiwa ?Capetown complex Dodoma mnapashwa kunyanganywa lesseni ya biashara kwa kitendo cha kufuata matakwa ya mahitaji ya lesseni. Kuruhusu na kuendelea kuwaruhusu watoto wa umri wa Chini ya umri wa mwaka mmoja Kuruhusu kuendelea kuwepo Bar hadi saa sita u siku wa manane. ... Nina picha na video za Tukio hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazazi au wenye bar ndio wa kulaumiwa ?
Juzi club huko moshi nimemuon mwanamke ana mimba kubwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siingilii masuala yasiyonihusu lakini mleta mada hii post yako naweza kuweka bondi nyumba yangu ya urithi kuwa umelewa (sahizi) ulipoandika hii post.Capetown complex Dodoma mnapashwa kunyanganywa lesseni ya biashara kwa kitendo cha kufuata matakwa ya mahitaji ya lesseni. Kuruhusu na kuendelea kuwaruhusu watoto wa umri wa Chini ya umri wa mwaka mmoja Kuruhusu kuendelea kuwepo Bar hadi saa sita u siku wa manane. ... Nina picha na video za Tukio hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siingilii masuala yasiyonihusu lakini mleta mada hii post yako naweza kuweka bondi nyumba yangu ya urithi kuwa umelewa (sahizi) ulipoandika hii post.
Kashatupia vitu huyo soma post yake inavyopepesuka😂😂😂😂😂😂 ana nongwa balaa huyu
Pia ukijua lesseni mashart ya lesseni yanasemajeMimi siingilii masuala yasiyonihusu lakini mleta mada hii post yako naweza kuweka bondi nyumba yangu ya urithi kuwa umelewa (sahizi) ulipoandika hii post.
Mimi siingilii masuala yasiyonihusu lakini mleta mada hii post yako naweza kuweka bondi nyumba yangu ya urithi kuwa umelewa (sahizi) ulipoandika hii post.
Wazazi au wenye bar ndio wa kulaumiwa ?
Juzi club huko moshi nimemuon mwanamke ana mimba kubwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kapumzike sasa usiku umekuwa mkubwa
niwe mara ngap..ww ungewaendea hao wenye watoto ujue kwann wapo na watt had usk..acha kuingilia biashara za watu...au koroshow
Mkuu kapumzike sasa usiku umekuwa mkubwa
hahaha ..awaachie wenywe aiseeKashatupia vitu huyo soma post yake inavyopepesuka
niwe mara ngap..ww ungewaendea hao wenye watoto ujue kwann wapo na watt had usk..acha kuingilia biashara za watu...au koroshow
acha pombe ww zimekukataaMkuuu bora ungejua juhudi unajua kuna watu wanaweza kuja kwako kama mkosi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kwa style hiyo no one will join you Kuruhusu mtoto wa below 2 years kuwa bar hata kama una hasira na aliyekupa mimbaacha pombe ww zimekukataa