Canter

Danny Massawe

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,295
755
Salam wadau!!
Ninahitaji kununua truck kwa ajili ya kubeba mizigo maeneo ya mjini na wilaya za karibu ambazo kwenda na kurudi haizidi 200kms. Mizigo ninayotarajia kubeba ni tani 4 mpaka 5. Ninaomba ushauri ni gari gani ninunue ambayo haitanisumbua na gharama zake za uendeshaji sio kubwa
Mimi niliwaza MITSUBISHI CANTER

NAOMBENI USHAURI NIKIJE NIKANUNUA KITU AMBACHO SIO SAHIHI

Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri ila usitafute gari ya kazi iliyochoka. Ukitaka kuona faida na kufanya kazi tafuta canter njema ya kuagiza au ya hapa hapa iliyo vizuri. Pili, dereva awe anajua kazi yake kwa maana ya utunzaji wa chombo na mizigo ya kupakia.
Tatu, a ngalia sana matunzo ya gari na maslahi mazima ya dereva bila kuathiri faida yako. Nne, jitahidi sana kusimamia mali yako na ujue vizuri chombo ikiwezekana endesha mwenyewe.Utaona faida.Sometimes watu si waaminifu.Atakudanganya sana juu ya spea na service akiona huna muda na gari.Ni maoni yangu tu.usiamini mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kaka kwa ushauri, ubarikiwe

Wazo zuri kwa kupenda kuomba ushauri ila mimi nipo tofauti hapo kama mungu akakusaidia kupata hyo gari nzima ya kazi Basi usiahau kunipa kazi mimi n dereva mzuri tunaweza kufqnya kaz vizuri.....Hasa kwa hilo suala lako unalotaka bas tunaweza kuwasiliana kwa no. 0762504906... Natanguliza shukrani zangu za dhati Asante Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salam wadau!!
Ninahitaji kununua truck kwa ajili ya kubeba mizigo maeneo ya mjini na wilaya za karibu ambazo kwenda na kurudi haizidi 200kms. Mizigo ninayotarajia kubeba ni tani 4 mpaka 5. Ninaomba ushauri ni gari gani ninunue ambayo haitanisumbua na gharama zake za uendeshaji sio kubwa
Mimi niliwaza MITSUBISHI CANTER

NAOMBENI USHAURI NIKIJE NIKANUNUA KITU AMBACHO SIO SAHIHI

Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, Mitsubishi Canter, ni nzuri, iwe flat. Ni wazo zuri, mhimu zingatia ushauri wa wadau humu ndani ktk uendeshaji wa hiyo biashara, mhimu sana ni uhusika wako ktk hiyo Gari, usimpe tu Dreva ukawa mguu juu ikisubiri mapato tu. Otherwise good idea, maana sekta ya usafirishaji bado ina fursa for someone to take off.
Na ukihitaji hiyo gari basi tafuta iliyosimama Sana yenye clear and clean history kama ni used Tz. LA ukiweza jikunjue IAGIZWE TOKA NJE, au ukiweza showrooms TZ.
Ukipenda kututumia sisi, KAMA NI KUAGIZA, basi usisite, tutaijadili gari yako, Na kisha tutakuagizia bila Tabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushauri mzuri.

Similar Discussions

Back
Top Bottom