Can't hold it Anymore.....

Can't hold it Anymore.....

Weeeh mzee uachage kuramba K Vant asubuhi asubuhi....

Ona sasa watu wanavyotupiga chabo aahahahahhaaaaa
Malabuku zako alfulelaulela.
Nakuomba radhi...

Turudi kwenye maombi

1576222309637.png
 
Haa haa haaaaaaaaaaaa.......SHIMBONYI SHAFOOO.
On ma way back to ma position.

Ukimuona Ticha Jael msalimie sanaaaaaa...

Mwambie wikiendi ile ingine inayokuja ntaenda nyumbani kwake tupike katlesi.

Granny Matata.
 
Kwa kweli itanibidi nimtafute kwa kila njia kwani yeye ataweza kuniambia pasi na kificho who was acting on behalf during my absence from the office.
na tena!!! ntaanzia kule kwenye gari letu tulilopewa juzi ila sijui atasafiri siku gani ama daraja lipi.
 
Aahahahahhhaaaaa

Siku utayosafiri niambie nikuletee ubuyu wa kukupa kampani njiani, pia ntakusindikiza...
 
msafara wa kwenda mamndenyi utaanza jmosi 21, niletee ubuyu wa Iringa kama utakuwepo tafadhali.
 
Nna ubuyu wa kutoka Dodoma, nimeupika mwenyewe pilipili Kwa mbali, ndimu, sukari ukwaju kiasi na hiliki weeweee....

Ukiula huachiii unaweza jikuta umeisha kabla hujafika milimani. Pasi shaka tarehe 21 ntakuwa pale stesheni na kikapu changu nimekufungashia vizuriii.

Cheers.
 
Kasie,
Real? you did It just for me? for sure I will offer more me than you expect to receive.
 
My pleasure, mpenda misosi mie nikiamua kupika huwa naingia jikoni na upako wote chakula lazima kiitike tuu.
 
Back
Top Bottom