Cant Get Internet on my Blackberry Bold 9700

Cant Get Internet on my Blackberry Bold 9700

FOEL

Senior Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
141
Reaction score
34
Ndugu zangu habari sana.

For two weeks now i cant access internet on my blackberry bold 9700, ninatumia huduma ya tigo Tanzania.

Naombeni msaada wenu kwa mwenye ufahamu.

Thanks
 
Hata mimi nimeshindwa kupata kifurushi cha internet toka last week.
Niliwapigia simu last weeka wakasema wana matatizo na mtandao wao.
Hawa ni vilazi mpaka sasa bado haipatikani.
 
Hata mimi nimeshindwa kupata kifurushi cha internet toka last week.
Niliwapigia simu last weeka wakasema wana matatizo na mtandao wao.
Hawa ni vilazi mpaka sasa bado haipatikani.

Hawa jamaa wanataka tuingie kwenye BBM services, haingii mtu hapa.
 
Back
Top Bottom