proxy JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 1,481 Reaction score 1,355 Sep 22, 2016 #1 Wadau Habari za mida hii, Nina machine Canon ir2420, inanipa error ya Bios Mode waiting for update. Hiyo msg inatokea Mara baada ya kuiwasha. Please naombeni Msada wenu wakuu.
Wadau Habari za mida hii, Nina machine Canon ir2420, inanipa error ya Bios Mode waiting for update. Hiyo msg inatokea Mara baada ya kuiwasha. Please naombeni Msada wenu wakuu.
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 Sep 22, 2016 #2 Tafuta na pakua "Firmware Update Tool Ver. 24.00 for Windows"