Canon ir2018 for sale

Canon ir2018 for sale

Nantes

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
544
Reaction score
144
Canon hiyo inauzwa ndio imefika tu,kwa anayehitaji anipm iko safi kabisa hata mkoani tunakuletea tukielewana
 
Attachments

  • canon ir 2018.jpg
    canon ir 2018.jpg
    19.3 KB · Views: 213
Kuna ubaya gani wakijua wakati nikinunua utanipa na risiti yao?
 
muuzaji anapanga bei,kwa hiyo kama uko serious utauliza kama nilivyoandika kwenye tangazo,unataka TRA wajue bei nayokuuzia?

We dalali? mbona hutaji Bei? TRA wakijua ndo itakuaje? au watakuzuia usiuze? Tuache porojo kwenye mitandao. Kama uko serious unauza kitu weka na bei then ndio mtu aanze kujipanga. Nna shida na hiyo copy ila kwa namna ulivyoliweka Tangazo lako na jinsi ulivyojibu inaonyesha sio mtu wa biashara. Wewe kama sio dalali basi utakuwa unatafuta cha juu.
Tuwe wawazi ili kurahisisha. nachokiona hapo unasumbua watu tu kukuuliza.
 
nimeshaku pm,tatizo humu kuna watu huwa wapo kwa ajili ya kukejeli
 
Kwa hiyo TIARAHEYI Humu jamii forums wanavitambulisho, au huko PIEMU hawafiki?!. :smile-big:

Bongo Raha jamani, kila sehemu ni komedi tu.
 
sio komedi kuna watu humu huwa wanapenda utani hawako serious
 
Back
Top Bottom