sema tu tuelewane usiogopeNi nzuri sana na nimeipenda ila hela ndo sina.
nimeshaku pmNimekupm naitaka!
yes pamoja na accessories zakekwa hiyo bei pamoja na hizo accessories?
Kama uko serious ungeuliza swali la maana,Kwa hiyo bei mkuu umeishiwa sana au ni clone ya kichina china..
kwa hiyo bei pamoja na hizo accessories?
Unaweza ni pm
Hiyo camera imeshanunuliwa,ukihitaji nyingine baada ya week unaweza kupata na lens ya Canon EF-S,Hizo lens ni aina gani ie Canon EF-S au Tamron,Tokina mm?
ukiwa serious utapata nyingine baada ya weekBdo ipo
Chukua 250 sasa ivi tufanye biashara