Cannibalism ktk mapenzi ya Nyoka

Nimekusoma mkuu,,hizo zote physical apearance,,uwezo wa kipato na hata hizo features za Wakati wa uvulana utaweza kuta wengi wanazo lakini Unaweza kuta mmoja au wawili kati ya wenye hizo features akawakamatia hata 80% ya madem wote darasani au mtaani,,,au kama ni kwenye campus ukakuta 6 au 8 wenye hizo features ndo wanadominate sehemu kubwa ya affairs.Hapa huoni bado kuna kitu cha zaidi kilicho kwa baadhi ya strong character.?
 
Mkuu huwa najiuliza yule jike anaweza kurekod show za madume wote (apprx 300) kichwani na akazifanyia upembuzi yakinifu na baadae akachagua mmoja ambae ndie character anayoitaka,,kwa kichwa kile...Nakubaliana na watu wanaosema yule mnyama ana akili za kupitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…